Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
habari yake ten sauzend!!!!!Babu wosia umeeleweka au wajukuu wanaleta mambo ya ten sauzend?
Ni kabaila...........kwa maelezo zaidi wasiliana nami.:A S-alert1:Thanx Asprin Kwani ww ni babu kiukweli?
Kaazi kweli!Mama Manka njoo tuombee mapensi yetu aisee!!Na mainfi mbona hujawapa mwongozo wa sala??Wasisahau kutanguliza maombi ili wasikamatwe ehhh?
Hahahaha! Mwaka mupya na mambo mapya....babu for wajukuuz!
Nahitaji kwenda nao mbinguni!
......lakini weusi ni dawa ya roho.......i am in luv.We mchakachuaji unabana kila kona....dah!
Anyway napenda sana weupe......
Mwone kwanza miguu myembamba mpaka unashindwa kutembea kwenye matope......
We mchakachuaji unabana kila kona....dah!
Anyway napenda sana weupe......
Hii Lizzy MASA....ina maanisha Masa ndo keshanipiga bao kwenye wa ubani thru keyboard? Huyu Rev Masa mzee wa kujiexpress?
:whoo::whoo::A S 39:Hii Lizzy MASA....ina maanisha Masa ndo keshanipiga bao kwenye wa ubani thru keyboard? Huyu Rev Masa mzee wa kujiexpress?
Kaazi kweli!Mama Manka njoo tuombee mapensi yetu aisee!!Na mainfi mbona hujawapa mwongozo wa sala??Wasisahau kutanguliza maombi ili wasikamatwe ehhh?
sema hapa hapa hadharani Babu, Mjukuu wako anakusikilizaMjukuu nisemee hapa hadharani au utakuja chumbani nikuhadithie?
Asante kwa kulinda maslahi ya akupendae........luv is power.......unayempenda utamlinda bana!Sijaelewa kupenda weupe na alichosema Bigie kama vinalingana...
Au ni mimi ndio nina kichwa kigumu!!
Naona Max amenibania kale kadude ka THANKS...........SENK YUU.sema hapa hapa hadharani Babu, Mjukuu wako anakusikiliza