Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Hahahah full kupigwa mabooster. Poleni sana. Jitahidini muyaishi maisha haya jamani
 
Na wewe umekosea.alitakiwa arithi kile alichotafuta nacho marehemu Ila vile alivyomkuta navyo asiviangalie Mana hajui vilivyopatikana.

Yaani mengi angemuoa afu amwambie kuwa tunaanza kutafuta na wewe maisha vile ni vya mke mkubwa na watoto wake.sasa wewe tunaanza zero tupambane wapange nyumba mbagala huko ya chumba na sebule waaanze kuuza maandazi karanga vitumbua na mihogo ya kuchemsha ili aonekane Kama kweli ameamua kuzeeka naye.kikawaida ukioa unaanza zero na mke mpya.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Wakiwatazama akina kim Kardashian au akina Jlo wanaona hapana na sisi yale maisha Iazima tunaishi. Anasahau kuwa wale wenzake ni Golf fish yeye ni kibua.
Hahaha mkuu nisamehe plz nisamehe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ana bwana mpya siku hizi mzingu..
Watoto wanapata stahiki zao zote tu. Hata matengenezo ya magari, sijui nyumba etc ipp ndo inafanya kuhudumia
 
Sasa si useme nini kimetokea, we unadhani sisi wote ni majudge kama ww

Kwa ufupi tu ni kuwa "Mahakama kuu imetupiliaa mbali wosia wa marehemu Reginald Mengi na kumchagua mtoto wa marehemu Abdiel Mengi na kaka wa marehemu Benjamin Mengi kuwa wasimamazi wa mirathi" hivyo zile mali alizo pewa Jaqueline mengi na wanae kwenye wosia wa awali sio halali. hivyo zina gawanywa upya.
 
Marehemu hajaheshimiwa hata kidogo japo yule binti hakustahili kuwa msimamizi wa mirathi.

Tatizo ni ule wosia ulio wasilishwa ulikuwa na utata. Hata kama ulikuwa ni kweli umeandikwa na mzee mengi basi hakutumia busara kuwaondoa watoto wake kwenye mgao wa mali.
 
Dah kulamba 100% ya urithi hata watoto wa primary level wanaweza kususpect kuwa something is fishy about the whole thing.
Yaan nilikua naangalia vicheche wa insta wakiandika na kutuponda kwamba tunamwonea wivu goldigger. Katika mtandao ambao watu hawana akili ni insta. Yaan walimjaza ujinga balaa.
 
Kabisa, she was on mission

Sent using Jamii Forums mobile app
Ah kila mwanamke yupo onna mission...kuoata mwanaume mwenye mihela....wanawake wanaangalia lofe lipo wapi na sio kwamba wanapenda.

Yeye alichobugi ni kwamba kabla ya kuzaa wale watoto angempiga pin kibabu. Kwanza weka billon tatu kwenye account yangu ndio nakuzalia. Tena una mwambia kabisa mzee kuwa hizo mali za huko nyuma ulizochuma na mkewe ni haki ya hao watoto wako wakubwa. Mie niwekee fungu langu kabisa ndio nakuzalia ili nisije kuvutana shati na watoto wako.
 
Kwani mzee alikuwa na shida sana na watoto hadi amwambie hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…