Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Ndo maan mwenda zake akabadilisha mfumo mzima, na kuweka watu wake, mbna taifa zima tulinywea, hata huyo jk kimyaaah, na alifanya kusudi kumuonesha, ila mwenda zake katunyoosha.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Sasa huyu mwanamke bwege nini? Yaani mungu kakupa uzuri ule alafu kibabu kile kinakugegeda unaambulia ujinga.. idiot! Mie kwa uzuri ule mbona sasa nina billion zangu 5 account imetulia
Kumbe wewe ni fundi wa kudanga?!
 
Hahahahaa yaan dada hasara kweli kweli
 
Aisee [emoji134] [emoji134]
 
Kumbe wewe ni fundi wa kudanga?!
Mie napenda wanawake wanaodanga...they just using what god has given them to make a living.
Sawa na mtu ambaye amepewa kipaji cha tennis basi huyu mrembo kapewa uzuri wacha atumie kujipatia maisha since the demand is there.
 
Awali ni awali tu ndugu yangu,wanasema hakuna awali mbovu. Ukijitia ukauzu wa kuwa mke wa pili,ukubali siku zote kuwa underdog. Lakini ukijifanya na wewe ni Mama lao,utishia kuwa kama mjane wa Taifa.
Hahaha unajua kuna time huwa nachokaaa kabisaaa. Unajua maybe alijisemea hawa wamachame wanajikutaga wamepinda sasa nitawaonyesha basi ndo hivyo waanameonyesha
 
Na kwa mazingira aliyojitengenezea sidhani hata kama anahamu ya kwenda kwa lile Jumba la Machame tena kwa sasa. Hata kama wanamwachia aishi. Aliyemdanganya kughushi WILL alimpoteza sana.

Kwanza Ana hela ya maintenance ? Ya nyumba ya kinonodoni na hile ya machame ? Huwezo Hana zile ni hotel sio nyumba
 

alimsumbua kutoka TRA Mpaka ikulu anafika kule anamwambia kalipe kodi hatukuelewana, alimsumbua hata me nakuchamba
 

Na mabwana zake wanafikia hapo hapo wanalala kitanda cha marehemu , Yule hajui matambiko ya uchagani sasa hivi atavaa chupi kichwani huo umalaya angeufanyia mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…