Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Hahahaaaa...yaani wanaume wenye pesa wajifunze jamani kaahh!Magige ,Likwelile,Mengi acha kabisaa...watu wanagombea msiba...
Eti mbunge kafiwa na mchumba kumbe alikua hajaolewa Magige
Halaf msando alivyo kibamia eti anakuambia eti mchumba[emoji23][emoji23] mara mpenzi
Mtu ana ndoa yake halafu wanamuita mchumba? Kisa viti maalumu ya panty ndo wanapunguza ukali wa maneno? Kwamba siyo kahaba, malaya, mchepuko ama shankupe? Sijawahi sikia sheria inayomtambua mchumba na mke at the same time. Kwanza alitolewa mahari wapi? Ila nyie ukimwi bei chee sana. Watu wanasambaziana kama viazi vya morogoro[emoji23][emoji23] hata angekua mchumba ni sheria zipi zinamtambua kuzika mchumba? Nyieeee... nasubiria kumilikishwa bastola
 
Si kufichia aibu taifa lako ili msiba usiwe na vurugu? Ama hata hujui msiba ulikua masaki baadaye ukapelekwa kinondoni kwa klyn? Ustaarabu mwongine kwa washenz kama hawa haufai...

Msiba haukuwekwa Masaki, msiba ulikua Kinondoni since day one mtoto wa marehemu aliyekuepo Tanzania ni Abdiel na alikua halali pale Kinondoni jioni yeye na ndugu walikua wanaludi kulala Masaki wageni wakipungua Kinondoni msibani , asubuhi wanaenda Kinondoni
 
Ni jk ndo alipiga na akamwambia sitaki matatizo na wewe namtaka mke wangu hapa sasa hivi. Basi weee... akaemseshwa na ving'ora juu mpaka msoga kama malkia[emoji28]

Aliwekwa ndani kisa nini?
 
Ni jk ndo alipiga na akamwambia sitaki matatizo na wewe namtaka mke wangu hapa sasa hivi. Basi weee... akaemseshwa na ving'ora juu mpaka msoga kama malkia[emoji28]
Basi hufahamu. Issue hii alikuja ituliza Askofu Pengo. Ndiye aliyekuja mbembeleza Amwachie. Na Ben akishiriki pia kuwa haitaleta picha nzuri. Na baadaye wakakaa naye kumwelekeza mambo flani kuwa arekebishe. Jiwe alikuwa Jiwe kweli kweli.
 
Mmmmh! Napata picha Jiwe alikuwa ni mtu wa aina gani! Kweli jamaa alikuwa na roho ngumu.
 
Matusi mazito kama yapi?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nisaidien hilo swal

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…