Wosia wangu wa mwisho

Ndio zipi hizo phase mkuu.....?

Alafu mkuu ile hali inapokuja sio kwamba unakua timamu aisee


Yes mkuu

Sema unakuwa una-count phase

1
2
3

Sasa MTU anaweza kuwa anaogopa kuteseka kwakuwa hajawahi kuteseka so hiyo kwake inakuwa ni phase 2 of life akiishinda phase 2 anaingia phase 3

Ntarudi ....
 
Yes mkuu

Sema unakuwa una-count phase

1
2
3

Sasa MTU anaweza kuwa anaogopa kuteseka kwakuwa hajawahi kuteseka so hiyo kwake inakuwa ni phase 2 of life akiishinda phase 2 anaingia phase 3

Ntarudi ....
Sawa mkuu nipo hapa
 
 
Kwenye swali ulilo niuliza huduma utapata..

Kwa Tanzania BAGAMOYO , KIGAMBONI..
Na mchungaji hananje ana sehem yake ila sijajua wapi?

So unaweza uka tafuta contact za mchungaji hananje ukaweza kusaidika ki uraisi...
 
Duh, hold on ndugu Kuna kesho.

JF mmeshindwa kuwa na ka-min department cha psychiatrist?

Mtu yeyote ambaye anaact extremely weird humu ni alert, anayetishia kudhuru/kujidhuru anahitaji msaada, tuache kupotezea now probably a soul is lost.
 
Habakuki 2:3-4
3 Maana njozi hii bado ni kwa wakati ulioamriwa, inafanya haraka ili kuufikilia mwisho wake, wala haitasema uongo; ijapokawia, ingojee; kwa kuwa haina budi kuja, haitakawia.

4 Tazama, roho yake hujivuna, haina unyofu ndani yake; lakini mwenye haki ataishi kwa imani ya
ke.
Pole, sijui unapitia nini kwa sasa ila kila jambo ni kwa wakati ulio amuliwa.
Japo umechoka kibinadamu na umeona yatosha.
Kuwa na uhakika kuwa utapita mapito hayo unayopitia, kisha anza kupigania maisha unayohitaji kuwa, mwisho utayapata. NAJUA SIO RAHISI.
 
Duh, hold on ndugu Kuna kesho.

JF mmeshindwa kuwa na ka-min department cha psychiatrist?

Mtu yeyote ambaye anaact extremely weird humu ni alert, anayetishia kudhuru/kujidhuru anahitaji msaada, tuache kupotezea now probably a soul is lost.
Cc

Hivi unawezaje mtag Max hapa, nina Imani anayo kumbukumbu juu ya jambo hili.


People need help, attention is help too.
 
Kwani kulikuwa na ulazima wa kuja kuandika humu? Anaejiua hajitangazi
 
Angekuwa mnywaji huyu asingehangaika kujinyonga. Wengi tumepata relief huko
 
Naelewa unachopitia kwasababu namimi kwa nyakati na visa vyangu niliteseka na kufikia hatua ya kutaka kujitoa uhai lakini niliongea na wadau na marafiki nawashukuru sana walinisaidia mpka saii nipo sawa. Unanafasi ya kuendelea kuish ndugu yangu talk to pple you trust watakusaidia utakaa sawa
 
My soul is saddened, maumivu Yako maumivu yangu please naomba tuendelee kuishi kesho yetu ni kesho ya wengine. Nakupenda don't go.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…