Wote Mnakaribishwa Sana

Wote Mnakaribishwa Sana

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Nawakaribisheni sana kwenye kikao changu cha harusi tarehe 06/08/2011 Hongera Bar jirani na chuo cha Ustawi wa Jamii. Karibuni sana.
 
Nawakaribisheni sana kwenye kikao changu cha harusi tarehe 06/08/2011 Hongera Bar jirani na chuo cha Ustawi wa Jamii. Karibuni sana.

Mbona hutaji nchi, mji wala mkoa kana kwamba wote tupo eneo moja humu?
 
Hee Bujibuji ni wewe......umeamua kufanya kweli ee! Hongera sana bana, mi ntakaribia aisee.
 
Ebwana vp Shem umempata humu Jf au?hebu tupe maujanja nasi tufanike kupata wa kuoa, mana cku hz wa kuoa adimu mno.
 
Hongera sana buji, umechagua jambo jema...sisi watz ni ndugu tutakaribia
 
kwa hilo mkuu hongera sana kwa kuacha kwenda corner bar sinza they will miss u mkuu..
 
Hongera Buji. Mimi niko kwenye vikao vya upande wa bi harusi mtarajiwa.
 
Back
Top Bottom