KIBONGOMKUTI
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 1,425
- 609
akili mgando, toa ushauri wako na wewe sio kuhukumu ushauri wa wenzako.
Kama uko sehemu yenye mkusanyiko mkubwa wa watu wanaofanya biashara tafuta kati ya M/T(pesa)kwa kuanzia wakati unaendelea na hilo mtaji utakuwa unakuwa nawe unaendelea kutazama fursa zingine.
sikiliza kwa makini, NENDA KIJIJINI SAFISHA SHAMBA LA HEKA TANO (SIO LA KUNUNUA) WEKA VIJANA WAKUCHIMBIE MASHIMO 100 NA KUKUWEKEA MBOLEA YA SAMADI, HARAFU NENDA SUA - morogoro au DODOMA KANUNUE MICHE MIA MOJA YA EMBE ZA KISASA AMBAZO ZINAANZA KUZAA SANA BAADA YA MIAKA MITATU NA UNUNUE KUKU WA KIENYEJI UFUGE HUKU UKISUBIRIA MAEMBE YAANZE KUZAA KWA WINGI. NDANI YA MIAKA MITANO IJAYO UTAKUWA TAJIRI.
wewe sio mzima kuna kafyuzi fulani kwenye kichwa chako kamekatika, siwezi kuendelea kubishana na wewe maana uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana. yaani hao kuku wa kienyeji atakaokuwa anafuga kijijini wanakazi gani, harafu yeye mwenyewe atakaa tu kusubiria miaka mitatu wakati maembe yanaanza kuzaa kwa wingi, yaani unataka nimwambie kuwa wakati anasubiria awe anafanya vibarua, tumia akili wewe, sio kutumia matak.oBora akili mgando kulikoni akili matope, kama ushauri wako haukubaliki kwa wadau wengine? Ina maana tusihoji ubora wa ushauri. Wenye busara usema ni bora kukaa kimya kuliko kuropoka. Tanganyika hii ni wapi mtu anaweza kutekeleza ushuri wako kwa uhalisia, acha ndoto jipange sio lazima kushauri kama huna cha kushauri.
wewe jaribu kuacha uvivu wa kufikiri vizuri, sasa hao kuku wa kienyeji atakaokuwa anafuga unataka nao nimwelekeze jinsi ya kuwatumia, au unataka nimwambie awe anafanya vibarua, muwe mnatumia akili zenu kikamilifu sio kila kitu mpaka muelekezwe, harafu baadaye badala ya kushukuru utaanza kusema ninakukashifu, ndiyo mlivyo.Na kuanzia leo mpaka miaka 5 atakua anakula nini?
anapanda siku chache kabla ya masika kuanza, hivyo kwa siku chache za mwanzoni anatakiwa awe anamwagilizia, baadaye mvua zina 'take over'
wewe sio mzima kuna kafyuzi fulani kwenye kichwa chako kamekatika, siwezi kuendelea kubishana na wewe maana uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana. yaani hao kuku wa kienyeji atakaokuwa anafuga kijijini wanakazi gani, harafu yeye mwenyewe atakaa tu kusubiria miaka mitatu wakati maembe yanaanza kuzaa kwa wingi, yaani unataka nimwambie kuwa wakati anasubiria awe anafanya vibarua, tumia akili wewe, sio kutumia matak.o
wewe sio mzima.halafu huo upuuz mnaofundishwa eti ndoto za kitaa ndo unataka kuleta ufundi humu hivi unajua bei ya mche mmoja kule SUA au unataka kuonesha kua nawe unaijua au mahesabu ngumu JAMAA AMESEMA HIVII ANA MILIONI MOJA hapo vp umeona sio haya mtaftie mchongo mwingne na uweke na hesahu sio unakurupuka kutaka kujionesha nawe ndoto za kitaa
wewe ndio mburula, tena mburula jike, mvivu mkubwa wa kufikiri.Hhahahah daima watu wenye akili finyu kama wewe hukimbilia kulazimisha watu kukubali ----- wao, ni wendawazimu kumshauri mtu kufuga kuku huku akiwategemea kama chakula/kitoweo unajua ufugaji wa kuku au umesoma kwenye madesa na kuishia kukariri tu ---- mkubwa weee, pili kuhusu maembe ndo unathibitisha uchizi wako. Hali ya hewa na kilimo cha Tanzania ni kama kucheza kamari Casino. Acha umburula ongea hoja zenye mashiko.
wewe ndio mburula, tena mburula jike, mvivu mkubwa wa kufikiri.
Mkuu tunasubiri idea yako na wewe.anyway hii sio chitchat lakn my concern ni wewe kweli una kiaidia angalau ile je put that kiaidia into monetary form hapo ndo haiji hyo milioni yake, maana hapo akisema anunue shamba tu mpunga wote kwishney maana hakuna mahal mtoa mada amesema ana shamba au wewe unaonaje jamaa angu hebu chukua kalkuleta, fourfigure na chalk tuanze darasa sawa eeeenh
Habari zenu wana jf
Nina mtaji wa sh million moja plz naomba idea ya biashara ninayoweza kufanya na huo mtaji wangu!
Nitashukuru mkinisaidia ,Asanteni