KIBONGOMKUTI
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 1,425
- 609
akili mgando, toa ushauri wako na wewe sio kuhukumu ushauri wa wenzako.
Bora akili mgando kulikoni akili matope, kama ushauri wako haukubaliki kwa wadau wengine? Ina maana tusihoji ubora wa ushauri. Wenye busara usema ni bora kukaa kimya kuliko kuropoka. Tanganyika hii ni wapi mtu anaweza kutekeleza ushuri wako kwa uhalisia, acha ndoto jipange sio lazima kushauri kama huna cha kushauri.