Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Najua kwa sasa tunajitahidi sana kuvumilia vumilia na kujipendekeza ili tupate cheo au ulaji flani. Sasa hali hii ni kama tunakuwa kwenye tension fulani.
Na kila mtu anajaribu kuja na maneno mazuri ya kuonekana anafaa sana ku praise na ku worship.
Kama tulivyofanya kwa Magufuli hatimaye wengine tukapata vyeo na wengine hamkupata mkageuka kuwa maadui.
Sasa naona kama hali inakuwa ni ile ile tena. Jamani watanzania mpo mil 60+ haiwezekani kila mtu akapata cheo. Na ukikosa pia shukuru. Haiwezekani wote pia mkapata deal.
Naona kila mtu anajaribu anachojaribu hadi wapinzani mnapiga simu za kumshawishi muyajenge (kimaslahi) mkimsifu kwanza mpaka naye anashangaa.