Wote wanao chat muda huu wamejawa na upweke

Mmmh mkuu sio wote wanga sometimes ni ugumu wa maisha usingizi hauji
Hukuwaza vema.. ¡
Kuna watu wanatamani kuwa hapo kitandani kama wewe ukiwa na afya yako na smartphone yako yenye network chaji na bundle lakini hawana uwezo huo
-wengine wako mtaani kwenye baridi na hatari za usiku
-wengine wako hoi hospital
-wengine wako mochwari
-wengine wako lockup
-wengine wako njiani muda huu kwenye safari za mashaka mengi
Shukuru kwa kidogo ulichonacho usijiue na mawazo unajiongozea mawazo.. Mungu wetu ni mwema na kamwe huwezi kukupa jaribu zaidi ya uwezo wako na kamwe hawezi kufunga milango yote
Jipe moyo yatapita... Wakati si milele
 
Umemwambia vyema mkuu, watu engine wanajitwisha mizigo isokuwa yao.
 
Umemwambia vyema mkuu, watu engine wanajitwisha mizigo isokuwa yao.
 
Niko na FULL SHANGWE baada ya KUGONGA Daku....

Naishughulisha Akili na Mwili kidogo niweze Ku-gain MMENG'ENYO pamoja na Kuurudisha usingizi kidogo..!!

ON MY BED (ROOM) WITH LOVE..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…