Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Shughuli gani hizoMtanifaa sana ninyi kwenye shughuli zangu [emoji81] aliye tayari anyooshe mkono [emoji83]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shughuli gani hizoMtanifaa sana ninyi kwenye shughuli zangu [emoji81] aliye tayari anyooshe mkono [emoji83]
Hukuwaza vema.. ¡Mmmh mkuu sio wote wanga sometimes ni ugumu wa maisha usingizi hauji
Umemwambia vyema mkuu, watu engine wanajitwisha mizigo isokuwa yao.Hukuwaza vema.. ¡
Kuna watu wanatamani kuwa hapo kitandani kama wewe ukiwa na afya yako na smartphone yako yenye network chaji na bundle lakini hawana uwezo huo
-wengine wako mtaani kwenye baridi na hatari za usiku
-wengine wako hoi hospital
-wengine wako mochwari
-wengine wako lockup
-wengine wako njiani muda huu kwenye safari za mashaka mengi
Shukuru kwa kidogo ulichonacho usijiue na mawazo unajiongozea mawazo.. Mungu wetu ni mwema na kamwe huwezi kukupa jaribu zaidi ya uwezo wako na kamwe hawezi kufunga milango yote
Jipe moyo yatapita... Wakati si milele

Teh teh usijaliTuwe tunaalikana kutoana upweke[emoji85] [emoji144] [emoji124]
Njoo tufarijiane na upweke[emoji15] [emoji15]Kuna kaukwelii