Wote wanao chat muda huu wamejawa na upweke

Nani yupo online muda huu? Ile mida ya hatari imeshapita
Nina kasumba moja inajitokeza, kila ifikapo majira ya kuanzia saa Nane usiku, usingizi unakata, na hapo kuupata tena ni mpaka kuanzia saa 12, na nikilala kuja kuamka mwili unakuwa umechoka sana, what f**n' hell is this...!?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] this fvck is the real hell
 
Back
Top Bottom