Wote wanao chat muda huu wamejawa na upweke

[emoji848][emoji144][emoji848][emoji144][emoji120][emoji144][emoji848]

Jr[emoji769]
 
*Hivi hawa wakina Mwamposa wapo kweli? Mbona wakati huu tunahitaji sana miujiza yao kakini wamekuwa kimya wanasubiri wamama wenye matatizo ya ndoa, wasiopata watoto, wenye waume walevi, wasomi wanaotafuta ajira nk. Yale mafuta yao hayasaidii kuepuka Corona?[emoji30][emoji30][emoji30]*

Jr[emoji769]
 
Ata wao wanaogopa kufa mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujapata Taarifa wanasema kwamba Ile sehemu wengi tunaenda kupunguza stress, tukizuiwa kwenda tutakufa kuliko inavyoua Covid-19.

Viroba vilipigwa marufuku. Bumunda


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…