Mi mwenyewe natafuta wakunibembeleza
Umejaa tele
Hahaha kitu cha spoko kwa ajili ya wapiga chabo...
Kuna jamaa mmoja alikuwa anapiga chabo kwa kijicho kimoja...
Sasa njemba ikamshtukia kuwa anapiga chabo, ikamtia spoko ya jicho...
Mpiga chabo akapiga ukunga eti aaah wamenizimia taa...
1+1= 11√ safari moja huanzisha nyingine!
....mi naomba unibembeleze kesho
hahaha...ngoja nijiandae kwa chabo ya keshoooooo
Mimi kolokoloni fahega saa hii niko lindoni uvuvi nimeacha tangu nikoswekoswe na nyangumi usiku wa manane