Wote wanao chat muda huu wamejawa na upweke

Wote wanao chat muda huu wamejawa na upweke

Hahaha kitu cha spoko kwa ajili ya wapiga chabo...

Kuna jamaa mmoja alikuwa anapiga chabo kwa kijicho kimoja...

Sasa njemba ikamshtukia kuwa anapiga chabo, ikamtia spoko ya jicho...

Mpiga chabo akapiga ukunga eti aaah wamenizimia taa...

Chabo ulikuwa ugonjwa mbaya sana bahati mbaya siku hizi umehamia kwenye mitandao ya ngono, vijana wanajinafasi kule kisha wanamalizia chooni
 
Na wewe pia unaupweke ndio unatafuta namna ya kuupunguza ....

Mimi kolokoloni fahega saa hii niko lindoni uvuvi nimeacha tangu nikoswekoswe na nyangumi usiku wa manane
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom