Wote wanao chat muda huu wamejawa na upweke

Wote wanao chat muda huu wamejawa na upweke

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Haiwezekani uko kitandani na BEBI wako halafu umuache tu alale wee uko busy na mtandao.
Wengi wana husika hapa ��������������������������msinipige mawe hamjuii nami niko wapi hapo.
 
Mie namfundisha baby jinsi ya kutumia jamii forum na nimekutana na uzi huu nikiwa namtajia baadhi ya watu maarufu JF ndoo kutaja madame B ndoo uzi huu ukatokea

Hahahaaaaa Madame B kuya bande hii
 
Last edited by a moderator:
mshana jr mimi nachati na bebi wako...

hebu mtazame alivyo bize kunijibu...
 
Last edited by a moderator:
Usingizi wao ni kuanzia saa tisa alfajiri!mida hii wapo hoi lakini hawana jinsi inabidi waamke na uchovu wao wakasake tonge! Wana mateso mengi kwakweli
 
Back
Top Bottom