Wote wanao chat muda huu wamejawa na upweke

Wote wanao chat muda huu wamejawa na upweke

Kwaiyo wote lazima wakalale hata wa U.S.A kama wewe eeh?
 
Kwaiyo wote lazima wakalale hata wa U.S.A kama wewe eeh?

Kukesha ni tendo litokanalo na kukosa usingizi pale ambapo mwili unatakiwa upumzike na ni usiku tuu! Hivyo uko wapi haijalishi kinachojalisha ni ule muda wa kulala
 
Kukesha ni tendo litokanalo na kukosa usingizi pale ambapo mwili unatakiwa upumzike na ni usiku tuu! Hivyo uko wapi haijalishi kinachojalisha ni ule muda wa kulala

Leo ulipata branketi eh.
 
Hahaha kitu cha spoko kwa ajili ya wapiga chabo...

Kuna jamaa mmoja alikuwa anapiga chabo kwa kijicho kimoja...

Sasa njemba ikamshtukia kuwa anapiga chabo, ikamtia spoko ya jicho...

Mpiga chabo akapiga ukunga eti aaah wamenizimia taa...

Leo nikipata mgeni siwaambii halafu mapazia yote nitagonga misumari halafu nitazima taa halafu subwoofer nitalifungua full blast halafu nitakaa na spoke dirishani
 
Back
Top Bottom