Wote wanao chat muda huu wamejawa na upweke

Woooote naona wamekamatia/kamatiwa sioni hata mmoja
 
1426364757123.jpg1426364772935.jpg1426364784277.jpgwanahitaji kampani kama wewe
 
Yaani leo ndio kabisa huu upweke unanimaliza aisee sijui nifanye nini usiku huu niondokane na hii hali
 
Weka bundle unlimited cm full charge tuchill till dayb
 
nipo mkuu.mbona hujalala kulikoniiii?:what::what:😀
 
Yaani leo ndio kabisa huu upweke unanimaliza aisee sijui nifanye nini usiku huu niondokane na hii hali

Mkuu yaan mimi masaa ni kama yamesimama! Mpaka nataka niwike kama jogoo!
 
5×6?hahahaaa.pole sana kwa upweke ingawa na mm..... as U .ivi unawaza nn zaidi?
 
Back
Top Bottom