Wote wanao chat muda huu wamejawa na upweke

usitamani kisichowezekana bro!!nn kilikutokea mpaka unawaza mapenzi yasingekuwepo?funguka kamanda
 
Ulipotelea wapi wewe? Natumai hujambo lakini

baada ya kukesha mwezi mzima si kuna siku nikajifanya nimeegesha kidogo kupunguza usingizi...

basi si nikapitiliza kulala baada ya kama wiki mbili ndio nimeamka...
 
Kwa vyovyote ulipaa ukawa kwenye ulimwengu mwingine kabisa
 
Back
Top Bottom