Wote wanao chat muda huu wamejawa na upweke

hahah hizi mambo za kupaa unaziweza wewe na rafiki zako wa Jamii Intelligence...

Naona mnawafundisha watu mambo mazito...

Ningependa nawe Watu8 ujifunze hii kitu, ina faida zake ukiitumia vema
 
Last edited by a moderator:
Heheh kutembea kunanitosha...nikitaka kupaa KLM, KQ etc zitahusika

Hii haina gharama na muda ni mfupi sana kufika utakako, tena hakuna usumbufu wa kupitia taratibu za visa, kukaguliwa mwili wote na hofu ya ajali
 
Wanaopaa huwa wakipata ajali zinakuwa za aibu...shurti wakutwe uchi uchi

Mshana jr we endelea tu kukwepa gharama kwa kupaa...

Nadhani itakuwa imekusaidia kufika nchi nyingi na si kufika tu bali na kuishi huko kihalali
 
Hapana ile ilikuwa old model! New model siku hizi zina backup kama parachute na SOS kwahiyo haya ikitokea hitilafu angani unabaki hukohuko mpaka upate msaada

YANI MFUMO WAKE NI KAMA AIRFORCE ONE TU
 
Back
Top Bottom