Wote wanao chat muda huu wamejawa na upweke

Wote wanao chat muda huu wamejawa na upweke

Naona kibaridi kimewapunguzia wengi upweke[emoji3] [emoji3] [emoji3]
19a2aa3c7c2d069fa1b13c45ffba9189.jpg
hakuna upweke mbaya kama ndoa iliyoshindwa[emoji80] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji36]
 
Hakuna unafuu. Inaonekana hujawahi kuexperience high level loneliness
Naelewa lakini maana yangu ni kwamba mchana unaweza kujichanganya tofauti na usiku
 
Back
Top Bottom