Wote wanaomshabikia Cristiano Ronaldo hawajui mpira na ni Wakengeukaji


acha ushabiki maandazi ronaldo mkali wa soka hata messi kampigia saluti
 

Hakuna hapo aliemkaribia messi. Labda maradona akifuatiwa na pele kwa mbali,,, huyo de lima level moja na wakina Aguero,suarez,dinho,iniesta nk.
 
Hakuna anaeweza kumfikia ata robo messi? Ushabiki mwengine bana..... Kuna kiumbe kimoja hakitoki kabisa katika ulimwengu huu, jina lake ni Ronaldinho, LEGEND, huyu mpira ukimuona tu basi unajicontrol wenyewe. Messi ndio nani? Atoke barcelona tumuone! aende uingereza au italy au german. Dinho hajapata mpinzani bado. Media tu ndio zimempamba
 
Kwa sasa cr7 ndo yuko juu. Hatuongelei yakale.
 
Acheni kumfananisha Cr7 na watu wengine alaaaah!
 
Kwani Yesu alikuwa wa sayari hii? [emoji3] Mbona alichonga fanicha za sayari hii, akala msosi wa sayari hii na mwisho wayahudi wa sayari hii wakamtandika fimbo za sayari hii.. Wakamchoma mikuki ya sayari hii.. Ee? [emoji3]
Duuuuh we jamaa bana! Umenichekesha ulivyocomment..hata hiyo comment siyo ya sayari hii
 
Muache mtakatifu dinho..muache kama alivyo yule jamaa hasa anapokutana na mpira.. mpira wenyewe hujikuta mahali salama ukiwa kwenye miguu yake. Nahitimisha Muacheni dinho msimfananishe na bianamu yyt kuhusu mpira
 
CR7 is a complete player. Anatumia miguu yote miwili kwa umahili mkubwa, ana kasi, anafunga magoli ya vichwa, penalty, adhabu ndogo na ana uchu wa ushindi. Sifa hizi Messi pia anazo ila ana upungufu mmoja hawezi kutumia mguu wa kuume kwa umahili.
Zamani nilijuaga mtu mwenye kichwa kikubwa ndo mwenye akili na mara nyingi ningeliona wanasoma masomo ya science lakini ni tofauti nkawa naona ndo washika mikia [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa wewe hoja yako iko wapi ingali wote wanacheza uwanjani! Leta hoja hapa izo ni weak points
 


Kwahyo una maana mimi nina kichwa kikubwa au maana sijakuelewa mkuu. Halafu hizi comment unazotoa mbona za hasira sana. Huna sababu ya kutoa kashfa humu jamvini unapoteza muda tu. Relax na ufurahie maisha.
 
Wanaempamba wengi ni Wa ManUtd
 
Leo uko hoi na Liver yako dhidi ya King Messi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…