Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,949
Itakuwa umesoma vibaya , Karma ni keHahah si amesema you and him mzae, yes I meant you
Karm anataka mzae au nilisoma vibaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa umesoma vibaya , Karma ni keHahah si amesema you and him mzae, yes I meant you
Karm anataka mzae au nilisoma vibaya
Unamjua gambino? Is it bad yeye kuwa ndo my role model?Kweli ni la kizalendo, kuliko kuwapa majina kama Dakota, Paris, London, Brooklyn etc ni uzalendo kama muafrika kuwapa majina ya kiafrika
Gambino, haha very inyeresting
Ndo hivyo ni keOh she is Ke?
Yani humu ndani watu kwa kujipa majina ya ajabu, tunapata wakati mgumu kujua yupi ni me au ke
Hahaha I misunderstood kwa kweli, I never had any idea karma could be ke
Wind na Ocean yanafaa kuwa ya kike zaidi kuliko Mountain. Japo Ocean linaweza kuwa la kiume pia.They are unique kongole mwana
Dont name a girl ocean or wind tho
Kuna sister wangu kamwita wanae Adventure, nimeukubali mtazamo wako
The one from America, au kuna Gambino mwingine unayemsema weweUnamjua gambino? Is it bad yeye kuwa ndo my role model?
He was a mastermind of which I aspire to beThe one from America, au kuna Gambino mwingine unayemsema wewe
Its bad if he is the one from America
Ningependa kujua kitu gani kimekuvutia hasa mpaka awe role model wako?
Ndo hivyo ni ke
Unaweka Id ya namna hiyo ili kuepuka usumbufu au ni kupenda tu jina hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
He was a mastermind of which I aspire to be
Sijui kwa watu wengine ila iko hivyoI never thought it that way
Guys bother girls here so much?
if they know yo are ke, they will bother you or something?
Sijui kwa watu wengine ila iko hivyo
Sio bothering tuseme let's say ur pm itakuwa loaded na messages
Hahah very smooth man Im watching you.That makes me look back, since I have been here haki ya Mungu hakuna hata mtu aliyewahi kunicheki PM
Wana jamii forums you are way rood to me
What do they text you in PM, haha somebody curious about woman period or
Ila nimegundua magonjwa ya zinaa hayawezi isha, mie ni mtu wa tofauti sana. I cant go seduce a girl I don't know and I cant sleep with someone who I haven't connected with. Mie muongeaji huku online in real life am not a talkative as such, may be wengi tu unaona online hawawezi kukusumbua in real life ila wanataka tu wakusumbue online
If you were a guy you would do the same thing
You have to be like a lion and a fox. The fox is smart enough to recognize traps, and the lion is strong enough to scare away the wolves. Be like a lion and a fox, and no one will ever beat you.-GambinoGambino seriously dah aisee hebu niulize what inspire you so much about him nambie kimoja tu
Hahah very smooth man Im watching you.
PS🙁I know your other ID is ZeroIQ but I wont tell her)
Watu wako tofauti humu , wengine wanataka kuwa na urafiki , wengine wanakuja na kuondoka , na hao wanaotongoza .That makes me look back, since I have been here haki ya Mungu hakuna hata mtu aliyewahi kunicheki PM
Wana jamii forums you are way rood to me
What do they text you in PM, haha somebody curious about woman period or
Ila nimegundua magonjwa ya zinaa hayawezi isha, mie ni mtu wa tofauti sana. I cant go seduce a girl I don't know and I cant sleep with someone who I haven't connected with. Mie muongeaji huku online in real life am not a talkative as such, may be wengi tu unaona online hawawezi kukusumbua in real life ila wanataka tu wakusumbue online
If you were a guy you would do the same thing
Gambino a criminal mastermind,,they couldn't catch for a long timeYou have to be like a lion and a fox. The fox is smart enough to recognize traps, and the lion is strong enough to scare away the wolves. Be like a lion and a fox, and no one will ever beat you.-Gambino