Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 8,632
- 23,673
- Thread starter
- #441
Hahah you studied language in advance eh, HLK or HGL or KLFHapo ndo kuna shida sasa
Kuna topic advance inaitwa speaking kwenye Language
ile ni nzuri sema lugha ni changamoto
Hhaha humu JF watu hawawezi kutofautisha R and L, kwenye comment nyingi sana alafu kwenye majukwaa ya lugha
hata neno dha and za; unakuta mtu anaandika zambi badala ya dhambi
Am not good with swahili ila ni janga la kitaifa