Would you marry a non believer?

Would you marry a non believer?

Dini huchagui tu.

Ni kitu unafundishwa na familia na mazingira unayoishi.
Na umuhimu wa dini wa wanaokufundisha na wewe unairithi kwa umuhimu huo huo.
Cha muhimu ni wazazi kumfundisha mtoto upendo na matendo mema (hii haina tofauti katika dini yoyote au hata wapagani) ingekuwa dini mtu hachagui basi watu wangekuwa hawabadilishi dini ukubwani au kuwa na imani tofauti na wazazi wao (cha muhimu ni mzazi kumfundisha misingi bora mtoto wake) show him the path na kumuacha aendelee after all akikua anao uwezo wa kusoma maneno na kusikiliza maneno na kuona ni kipi kinamfaa

Angalia baadhi ya watu wako tayari kufa kwa imani yao.
Kama mmoja anaamini, na mwingine haamini huo umuhimu unaotaka kuwarithisha wanao utapatikana kweli.
Hao wengine ambao wapo tayari kufa au wengine kuua hao ni extremists ambao sitapenda watoto wowote wawe brainwashed na hao.., ila issue ni kwamba kama mmoja anaamini na mwingine haamini basi anayeamini ndio anacho cha kumfundisha mtoto kwahio yeye ndio amfundishe mtoto so long as its not brainwashing the kids
 
LOVE IS MY RELIGION.
If they love each other, then there's nothing to worry about.
 
mmmmmmh hapana kwa kweli....
Watoto mtawalea katika misingi ipi?
Mtaishi kwa utaratibu gani?
 
Ain't this discrimination ?

Sometimes I think for people who believe in loving thy neighbor, forgiveness, uvumilivu are the ones who are most discriminatory and preach discrimination and hate. Its just my observation

In that case any act of choosing is discrimination ....
When you like thick ladies you discriminate skinny ones
When you like tall men you discriminate shorts ones
When you love those who can dance you discriminate those who can't

STOP THAT SPEECH ABOUT DISCRIMINATION AS IT DOESN'T HAS THAT BROAD DEFINITION.
CHOOSING ISN'T NECESSARY A DISCRIMINATION
 
Choosing means preferring A from B I might like black ladies more than white ladies, but saying I would never go out with a white lady or telling people not to go out with a white lady because of their color that's discrimination

DISCRIMINATION
"treatment or consideration of, or making a distinction infavor of or against, a person or thing based on the group,class, or category to which that person or thing belongs rather than on individual merit: racial and religious intoleranceand discrimination."

Lakini hapa niliongelea hii issue ya discrimination sababu it beats me..., for people saying that we are all equal descendants of one God and we should love one another equally without judging we are judging that some are not fit to tie a knot with us..., (in spite of how much we love them)..., that's to me contradicts with love thy neighbor.

Don't get me wrong everyone is free to choose but I cant say I will never go out with a (group or class of people) because I judge everyone according to their characters and merit
 
Ni hatari kuishi na mtu aishie bila kanuni zilizothibitishwa kuwa ni bora.
Clean conscience is a key ....is the inner sense of what is right or wrong in one's conduct or motives

Kanuni "zilizothibitishwa" kuwa bora ni zipi? bora zaidi ya nini? bora zaidi ya zipi?

Nani ana clean conscience kati ya, kwa upande mmoja, believer kasisi wa Roman Catholic au Maalim wa madrasa anayeviharibu vitoto vidogo na atheist ambaye anafuata kanuni za secular humanism ambaye sio tu hawezi kufanya ushenzi kama huo, bali pia hata nyama hali kwa sababu anaona kula kiumbe chenye damu kama wewe ni unyama?

Unaongelea kuhusu "inner sense of what is right or wrong in one's conduct or motives", kuna watu wana inner senses zao zinawaambia wanawake ni watu wa kupigwa, kukabwa na kubakwa tu, kwamba hata wao (wanawake) wanafurahia hayo. Ukimkuta mtu inner sense yake ya right or wrong iko hivyo, utasemaje?
 
He/ She is such a good person but does not believe in God....

someone without a religion...Would you marry him or her?
Si umesha sema he is a good person?
I take it this means anatimiza vigezo vingine vyote, sio?
Basi kama ni hivo sioni kitu gani kina ziwia kuoana.
Dini sio kigezo kwangu, na nashkuru hata familia yangu haitilii mkazo.
 
Kula tano,

Inaonekana hapa kuna vitu viwili.

Kimoja ni hicho cha "a good person".

Kingine ni habari za tradition, kwamba anaamini au haamini mungu.

Tukae tukijua, hata huyo Yesu/ Nabii Issa naye kuna wakati alikuwa "a good person" lakini alionekana haamini mungu kwa Wayahudi wenzake. In fact kuna Wayahudi wengi tu mpaka leo wanamuona Yesu mzushi, na hawaamini kwamba zile tabiri za nabii Ezekiel na wenzake zilimtabiri Yesu. Bado wanamsubiri Masiha wao !

Hata huyo Mtume Muhammad alionekana mzushi kwa waarabu aliowakuta na kuishi nao kwao.

Kwa hiyo tutaona utamaduni unahitaji vizazi kadhaa kuweza kuangalia nyuma na kujua nani ni nani.

Vinginevyo unaweza kugongewa hodi na Yesu au Muhammad wa mida yetu hii, ukamfungia na kumtukana eti kwa sababu tu haamini "mungu".

Wakati "mungu" anaweza kuwa ni shorthand ya kishairi ya ku describe "the entirety of the elegance of phenomena".

Any change worth it's weight in salt, and most paradigm shifts on that level, by definition, is obliged to introduce a radical shift in views, otherwise it wouldn't be such a paradigm shift.
 
Mimi akishakuwa anajiamini mwenyewe kwangu inatosha.
Tukianza kuchagua beleiver/none beleiver, Muslim/Jew, Sunni/Shia...kuna hatari ya kuja kuanza kuchagua kanda, mkoa, kabila, rangi...Bahati mbaya tunawaona wanaovaa ushungi/joho la uumini lakini ni wanafiki na wakatili utashangaa.

Hata hao tunaowaita non-beleivers,
ukweli ni kuwa wanaamini katika ubinadamu, kitu ambacho ni muhimu sana kwa mahusiano ya kila siku ya binadamu.
 
Kula tano,

Inaonekana hapa kuna vitu viwili.

Kimoja ni hicho cha "a good person".

Kingine ni habari za tradition, kwamba anaamini au haamini mungu.

Tukae tukijua, hata huyo Yesu/ Nabii Issa naye kuna wakati alikuwa "a good person" lakini alionekana haamini mungu kwa Wayahudi wenzake. In fact kuna Wayahudi wengi tu mpaka leo wanamuona Yesu mzushi, na hawaamini kwamba zile tabiri za nabii Ezekiel na wenzake zilimtabiri Yesu. Bado wanamsubiri Masiha wao !

Hata huyo Mtume Muhammad alionekana mzushi kwa waarabu aliowakuta na kuishi nao kwao.

Kwa hiyo tutaona utamaduni unahitaji vizazi kadhaa kuweza kuangalia nyuma na kujua nani ni nani.

Vinginevyo unaweza kugongewa hodi na Yesu au Muhammad wa mida yetu hii, ukamfungia na kumtukana eti kwa sababu tu haamini "mungu".

Wakati "mungu" anaweza kuwa ni shorthand ya kishairi ya ku describe the entirety of the elegance of phenomena".
Namna aliweka BUT kati ya hizo assumptions mbili
(good person BUT haamini Mungu), ni kama
The two are incompatible, one contradicting the other
Kwa kweli ninavo zidi kuhishi nazidi kuona kua
The more religious people are, the more fanatic they become
and the more fanatic they become, the more dangerous to humanity they are.
Bora hata huyo asie amini kuliko kina Ben Laden or Raël.
Hitler was a believer, Alshabaab are believers.
 
Wewe nawe una vi-nugget fulani ambavyo mara nyingine ni bora visemwe na wengine tu, maana akivisema Kiranga itaonekana kama habari za kila siku za Kiranga.

Nimefurahi kuona mtu anayeamini, lakini anayechambua mambo, ameweza kuliona hili.

Convergence.
 
Does a belief in god make one a good person?

Mwali kashatuonyesha kina Bin Laden walioamini mungu wasiyemuona lakini wakaua binadamu wenzao waliowaona.

Nipe atheist asiyetaka kuniua over believer anayetaka kuniua any day of the year.
 
Mwali kashatuonyesha kina Bin Laden walioamini mungu wasiyemuona lakini wakaua binadamu mwenzao waliyemuona.

Nipe atheist asiyetaka kuniua over believer anayetaka kuniua any day of the year.

Ebwana niliona mlikuwa na march wiki kadhaa zilizopita....ulishiriki?
 
Choosing means preferring A from B I might like black ladies more than white ladies, but saying I would never go out with a white lady or telling people not to go out with a white lady because of their color that's discrimination

DISCRIMINATION
"treatment or consideration of, or making a distinction infavor of or against, a person or thing based on the group,class, or category to which that person or thing belongs rather than on individual merit: racial and religious intoleranceand discrimination."

Lakini hapa niliongelea hii issue ya discrimination sababu it beats me..., for people saying that we are all equal descendants of one God and we should love one another equally without judging we are judging that some are not fit to tie a knot with us..., (in spite of how much we love them)..., that's to me contradicts with love thy neighbor.

Don't get me wrong everyone is free to choose but I cant say I will never go out with a (group or class of people) because I judge everyone according to their characters and merit

Kama mzazi wako akikwambia usioe au usiolewe na mvuta bangi ...is he/she discriminating?
Asiyea amini kuwa kuna amri jeshi mkuu ,kuna utaratibu wakufuatwa ktk life battle ,,,,,, hana guarantee huyu mtu...
 
Back
Top Bottom