Tatizo letu wengi hata "secular humanism" ni msamiati, sasa kuelewa idea nzima inakuwa mgogoro.
Kwa hiyo kuwafundisha unachoamini kiwazuie na wao kufumbua macho na akili zao kuchimbua kuhusu wanachoamini wengine? Ukiwa unamfundisha hizo nyendo zako na imani na sala na Mungu wako utamwambia huyo ndo wa kweli pekee na wengine wamepotea so your kids shouldnt even bother?
Fortunately wazazi wangu walikuwa waumini wa kanuni ya independent investigation of the truth therefore I was exposed to the teachings of other religions other than theirs...
Hata kama utawaexpose kwa imani za wengine, lakini msisitizo utakuwa katika kile unachoamini wewe.
Hivi hadi kuwa muumini wa kundi fulani maana yake si umeona lenyewe ni bora kuliko mengine? Umeoana lina majibu ya maswali yako kuliko wengine?
Kusema kuwa utamwacha leo mtoto aende huku, kesho kule, wewe uko kwingine, kiuhalisia sijui inakuwaje.
Nini maana ya kurithi?
mtazamo wa ubora wa ninachokiamini haukifanyi kiwe bora na kwa wengine watoto wangu wakiwemo.
Kabla sijaendelea, naomba nikuulize, imani yako kwa sasa ni tofauti na ya wazazi wako?
Kwanza sijui mwenzetu imani ina maana gani. Imani kwako ni sawa na dini?
Kama si sawa, wengi wa watu hawarithi imani za wazazi wao kamwe
Unaoa imani au mtu?
Waweza mfanya aamini mwishowe!
Hili ndo huwa kosa mara nyingi katika mahusiano, hasa wanawake.
Anaolewa akidhano atambadili mwenza kwa yale asiyoyapenda.
Si rahisi kihivyo kumbadili mtu hasa mabo ya kuamini.
kwani swali la msingi tumeulizwa imani gani?
As a couple mtaongea na mtajua tu mnataka kuwaleaje.Hata kama ni msamiati
hainizuii kugundua kuwa tutakuwa na msukumo tofauti katika kurithisha tunachoamini.
][/B]Kama mzazi wako akikwambia usioe au usiolewe na mvuta bangi ...is he/she discriminating?
Asiyea amini kuwa kuna amri jeshi mkuu ,kuna utaratibu wakufuatwa ktk life battle ,,,,,, hana guarantee huyu mtu...
You hit de point mkuu....
Mtu asiye na imani anaweza kukuua hata kwa sumu....
si anajua kuwa akisha kufa na yeye hakuna tena hukumu
Atawafundisha kutokuamini. Sio kweli kwamba hana cha kuwafundisha watoto.
Mkuu hivi hizi ni kanuni ambazo wanafata watu wanaoamini dini au wanafata watu wowote wema na wafata sheria.., sitapenda kuwa na partner yoyote ambae ni muuaji, msinzi au muongo, na sio kweli kwamba wanaoamini wana hati miliki ya kufanya hao..., any good human being follow this Kanuni believer or non believer...,Kanuni "zilizothibitishwa" kuwa bora ni zipi? bora zaidi ya nini? bora zaidi ya zipi?
Usiue,usizini,usiseme uongo,.......................
Je ww unazionaje ?
Bora zaidi ya zipi ? zaidi ya opposite ya hizi
Kama ni kuamini uwepo wa Mungu ndio imani inayozungumziwa hapa, basi si kweli kuwa wazazi hurithisha watoto wao imani hiyo
Ukifika nchi za Magharibi utalielewa hili kirahisi sana
wawarithishe wakati wao wenyewe wako fifty fifty?
Wanaipa dini umuhimu gani??
Ndo maana nikasema inategemea na umuhimu mzazi unaoipa hiyo imani yako ndio nguvu itakayokusukuma kuwafundisha wanao.
Huwezi wafundisha kwa msisistizo kama ww mwenyewe uko mguu mmoja ndani mwingine nje.
Kwa nini unadhani ni muhimu kuwafunza kwa msisitizo?
msisitizo hapa namaanisha weight unayoipa imani yako.
Sasa umuhimu wa msisitizo unategemea na wewe mwenyewe.