Yaani .....
Sasa ungekuwa na mentality hiyo hiyo kweli ungeendelea kuwa mwanaume wa ukweli..hahahah Labda ungekuwa..........dah ngoja niache hapa kuna wataalamu watakuja kunisaidia. Besides how can you be so sure about that?Ningekua mwanaume ningekua na mentality hii hii nadhani...
Baada ya kutumia kamusi kwa dakika kadhaa nimekuelewa mkuu... hii pia naprint, naweka ukutani! THANK YOU!We just have to live our lives and stop hiding behind them.A predetermined formula is the root cause of all the blunders mentioned earlier since there are no such things as love guides.
-Women should stop taking too seriously all the things they read in magazines or hear from their shostis or acquaintances.In addition to that the fairytale attitude has to be abandoned,being a good wife and mother is more than enough.
-Husbands should not be overly concerned with the likes of work,alcohol,spectator sports than their wives and kids(especially wives b'se we are likely to live forever with our wives than kids),being too serious and unentertaining at family level is not the way forward,you might be a manager/director at work but remember you are just a husband and father at home your other skills come second.
-That is all i think of for now and this aint the law either.When husbands and wives become paranoid and excessively worried about how their marriage is not perfect that is when marriage counselors raise their profit margins.
I am not sure... I just speculate. Kuna wanaume ninao wakua who believe in the same things as I, na wanapenda challenging minds. So I guess ningekua mwanaume ningekua kama hao...Sasa ungekuwa na mentality hiyo hiyo kweli ungeendelea kuwa mwanaume wa ukweli..hahahah Labda ungekuwa..........dah ngoja niache hapa kuna wataalamu watakuja kunisaidia. Besides how can you be so sure about that?
OMG....Too late I think for the warning....Michelle....Come This Way..:juggle:
Hapa Michelle kama sio kweli vile.....mmmh:gossip:
Baada ya kutumia kamusi kwa dakika kadhaa nimekuelewa mkuu... hii pia naprint, naweka ukutani! THANK YOU!
Michelle, how dare you!
Nimesoma sana posts za MMU na nimegundua kitu: wanaume wengi wanaamini kuna wife material na girlfriend material. Wife material ni mpole, mtiifu, ana background nzuri, ni msomi kiasi, future oriented etc. Girlfriend material ana sura na umbo nzuri, ni mcheshi, anapenda kwenda out, ni mtundu kiasi.
Kweli kila mtu ana definition yake ila kwa ujumla kuna tofauti kati ya wife material na girlfriend material.
Pia nimeona wanawake wanaamini kuna wanaume wasio faa kwa long term relation ila bado wanafaa kua wapenzi. Wana penda maisha, wanatoa mazawadi mbali mbali, wanapiga sim na kutuma sms kila saa, wanakutambulisha kwa marafiki etc, alafu kuna wanaume wa long term relation: wanakusupport katika mipango yako ya maisha, wanajitambulisha kwa familia yako na wanakutambulisha katika familia zao, hawachelewi kuzungumzia swala la ndoa etc. Kwa wanawake distinction haipo clear sana lakini.
Toafuti hii kati ya boyfriends-girlfriends na husband-wives material naona inaweza kua sababu ya wanaume wengine kuoa wife material ila baadae wanaendelea kua na nyumba ndogo sababu wake zao sio girlfriend material toka mwanzo, na wenyewe bado wanataka kujipa raha huko nje. Wanawake nao wanaolewa kwa tama ya ndoa ila wakisha kua ndani wanagundua kua wanaume hawana ile romance ya boyfriends sababu wanachukua life too seriously, na hii inasababisha yale mapenzi ya moto moto kuisha mapema katika ndoa.
Swali langu kubwa linakuja hapa: kwa mtindo huu nikijaribu kua the perferct girlfriend nitajitoa kwenye orodha ya wife material. Na the perfect perfect beer buddy hawezi kua perfect husband the at the same time. Hivi hakuna haja ya kubadili hizo criteria za wife material na perfect husband kwa kweli? How can we be perfect spouses if we are not perfect lovers before marriage? Kwa nini marriage isiwe continuity ya mahusiano ya girlfriend-boyfriend?
If I am just perfect as myself, would you marry me?
Curiosity killed the cat... kua mpole tu. Au njoo na wewe ufundwe na AshaDii. lol
Hapo makubaliano na maelewano yanahusu sana.
Kuna watu wanaotegemea/taka mkishaoana mambo ya washkaji na mashoga yakome. Ni vizuri mkajulishana vitu kama hivi mapema ili ukiingia unaingia ukiwa umejiandaa sio mnashtukizana mara baada ya honeymoon. Maana ikiwa hivyo ndio mwanzo wa mmoja kuona mwenzake anataka kumcontrol na kupunguza amani nyumbani.
Alafu Mwali wasingekua wanapenda utundu uendelee wasingekua wanaenda kuutafuta nje. Tatizo ni wanawake ndo hua wanasitisha kwa kuona kwamba hauhitajiki tena.
I am not sure... I just speculate. Kuna wanaume ninao wakua who believe in the same things as I, na wanapenda challenging minds. So I guess ningekua mwanaume ningekua kama hao...
Curiosity killed the cat... kua mpole tu. Au njoo na wewe ufundwe na AshaDii. lol
yani una akili wewe!!ghafla tu unamkuta mtu kaanza na kupiga yale magoti ya 'wizi'(kama kajikwaaa vile!) akikupa kitu,soo boring...mpaka chumbani..............eti kwasababu ni mke wa fulani!!...huku ni kuingizana majaribuni kwakweli.