Nitasema,sina uwezo wa kuhifadhi sirii kwa muda mrefu hasa pale yule niliyemtenda visivyo hastahili kutendewa hivyo...God Forbid Please!!!
Ahaaa ahaaa First Lady kumbe hauwezi kuvumilia good natumaini this time utaniambia ulipocheat na yule mshikaji mnayekaa naye mtaa mmojaNitasema,sina uwezo wa kuhifadhi sirii kwa muda mrefu hasa pale yule niliyemtenda visivyo hastahili kutendewa hivyo...God Forbid Please!!!
Hommie umeniwahi nilitaka kumuuliza hicho hicho ulichouliza weweHommie sasa utasema kila siku au unasema siku moja zingine unazikaukia? Ukweli unauma hommie
Otherwise mkuu itakuwa Guilty of Suspicion lol!!!Hommie Kaizer,
take it from me... If nobody knows, it never happened!! Keep quiet until someone knows it and ask about it
Michelle, unakuwa umepima vizuri madhara ya kusema na kutosema lakini..naona hapo kwen bold huimagine ikutokee....kiuzushi uzushi hadi sa ivi umeshatunza "siri" ngapi.....mmh
Ahaaa ahaaa First Lady kumbe hauwezi kuvumilia good natumaini this time utaniambia ulipocheat na yule mshikaji mnayekaa naye mtaa mmoja
Bandugum
Poleni na maumivu ya bajeti, hasa kwa siye wanywaji...:A S embarassed:
yangu ni mafupi tu
Kama umecheat kwenye relationship, unaweza kuwa na guts za kumwambia mwenzio kwamba nimecheat? Hii nimeisikia kwen East Africa Redio asubuhi hii, and I thought lets share it
Kweli unaweza kumwambia mwenzio kuwa nimedo ze nidiful sehem sehem ama utajikausha
Niharakishe kuseam kuwa katiba yetu ya ISC inasimama pale pale vigezo na masharti kuzingatiwa
Good Friday!
Hommie Kaizer,
take it from me... If nobody knows, it never happened!! Keep quiet until someone knows it and ask about it
Sijawahi kutunza siri za mapenzi ila nafikiri nikiwa nazo..... lazima nipime madhara ya kusema na kutosema,manake "not everything is about me",kuna wakati consequence za matendo yangu zinaweza kuwa na impact kwa watoto au familia kwa ujumla,so lazima nipime. So far sijawahi ku-cheat kwenye uhusiano wowote wa kimapenzi,sina siri za aina hiyo.
lakini huwezi kuwa na amani moyoni labda km www una roho ngumu....
Kwa kweli afe nayo kamba yake mwenyewe asinibebeshe zigo zito moyoni mwangu, tunapenda ukweli ila kukabiliana nao tunashindwa kabisaYeah bora kufa na kamba shingoni