bacha
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 4,282
- 797
mkuu kaizer,mim kama nitacheat nitasema kwa sababu kwanza kabisa siwezi kumcheat mtu ninayempenda,hivyo mpaka nifikie kucheat ina maana sina tena mapenzi naye.
Ila hata kama nitakua sina tena mapenzi na mtu sitatoka nje ya uhsiano mpaka tuachane kabisa na mtu niliyenaye,ila kama nitakuwa nimejikuta nimecheat nitasema ukweli ili huyo ambaye nimemcheat ajue kuwa we are no longer together.
naomba nimalize kwa kusema kama unampenda mtu usimcheat,kucheatiana ni kubaya,huko unakocheat unapata nin cha zaid ammbacho umpendaye hawezi kukupa.
na kama huko unakocheat kuna la zaid basi hamia huko huko na umweleze wa zamani ukweli.
cheusimangala hujui tu binti!
lakini vipo vingi sana vya ziada,
Na kama kweli kungekuwa hakuna hivyo vya ziada, basi wanaume wasingeenda huko!
Tafakari, chukua hatua!!!!!!!!