Would you say it? (Ungesema?)

Would you say it? (Ungesema?)

mkuu kaizer,mim kama nitacheat nitasema kwa sababu kwanza kabisa siwezi kumcheat mtu ninayempenda,hivyo mpaka nifikie kucheat ina maana sina tena mapenzi naye.
Ila hata kama nitakua sina tena mapenzi na mtu sitatoka nje ya uhsiano mpaka tuachane kabisa na mtu niliyenaye,ila kama nitakuwa nimejikuta nimecheat nitasema ukweli ili huyo ambaye nimemcheat ajue kuwa we are no longer together.

naomba nimalize kwa kusema kama unampenda mtu usimcheat,kucheatiana ni kubaya,huko unakocheat unapata nin cha zaid ammbacho umpendaye hawezi kukupa.
na kama huko unakocheat kuna la zaid basi hamia huko huko na umweleze wa zamani ukweli.

cheusimangala hujui tu binti!
lakini vipo vingi sana vya ziada,
Na kama kweli kungekuwa hakuna hivyo vya ziada, basi wanaume wasingeenda huko!
Tafakari, chukua hatua!!!!!!!!
 
Ni ngumu sana naprefer asiniambie kabisa sababu naumiaga sana moyoni kwa muda mrefu na vitu vidogo itakuwa hili? nahisi nitamchukia na mapenzi yatashuka sana

Will die na hiyo siri moyoni na hata ikivuja will keep denying, never ever confess to ur bf, mume, mke ati umeenda nje! never, unajua anaweza kuambiwa in his/her mind akawa haamini so denying inampa hope hata kama za uongo na mnaendelea na amani yenu. Ukikubali maumivu ni unexplainable as anaanza kuwaza ulivyo vua/vuliwa nguo, style mliyotumia, je mlijikinga? soo much drama anazijenga kichwani so if wampenda never. Nikiconfess kwako nimestep out ina maana I dont want u any so nimeshamove on na hiyo telling u ni kukupa more reason za kuchukulia poa tu mbona kanicheat!
 
I like your analysis morio
 
Back
Top Bottom