Wow...! Lawrence Masha amenivutia


You sound like someone I know!
 

Ninawapenda sana vijana wa CHADEMA, wanamfanya mvi nyingi akose usingizi pamoja na mahela anayomwaga kwenye harambee.
 
Ndio uzuri wa watanzania. Unachukua kitu kimoja unakisimamia na wanaanza kukuamini. Ukiongezea na tshirt na khanga basi mambo ni tres bien! Mmesahau vimbwanga vyake vyote japo wananzengo wanavijua.
 
Anataka tuseme asante kwa yeye kutimiza majukumu yake? Kwa uono wangu mtumishi au kiongozi wa Umma hatakiwi kuambiwa asante pale anapotimiza wajibu wake kwa Umma uliompa hiyo nafasi, labda apewe tu pongezi.. Lakini siyo asante!!
 

mmh naona tupo class mwalimu hujaita majinaa
 
Nilifikiri nimeona peke yangu.. R & L zinakuwaga na matatizo gan jaman mi nashindwaga kuwaelewa hawa watu!

Wengi wao wanahisi eti wakitumia R kwenye L na L kwenye R ndio ujanja kumbe uzoba tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…