Wow!The one World Digital Currency is almost here, but first they have to collapse the global financial system to make way for it

Wow!The one World Digital Currency is almost here, but first they have to collapse the global financial system to make way for it

Na trial runs za Digital Currencies zinazofanywa all over the World unazizungumziaje.Infact US wanafanya trial runs in five major Banks!
Digital currency is futurity. We cant escape it but to live it. I know globalists they do carry the dark side of the coin with them. Sasa mkuu unadhani tuna cha kufanya? We live to see the happenings of the future.
 
Yaani miafrika mmebaki kuwa watazamaji na kusubiri wengine wawafanyie kila kitu, nyie kazi yenu kulalamika na kulialia tu.
"Unasema miafrika mmebaki,"wewe ni mzungu?Anyway fanya utafiti wa kina wa Mwafrika utam-appreciate badala ya kum-ridicule.Laiti ungejua kwamba mikati ya CBDCs ni uovu mtupu usingeona kwamba Mwafrika hana maana.
 
Digital currency is futurity. We cant escape it but to live it. I know globalists they do carry the dark side of the coin with them. Sasa mkuu unadhani tuna cha kufanya? We live to see the happenings of the future.
Ni kweli mkuu,hatuna jinsi,ila I wish all of humanity would have unity,naamini tungeweza kufanya kitu katika uwingi wetu,badala yake watu wamezamia kwenye petty issues kama Yanga na Simba, major and important issues kama hizi zinasukumiwa pembeni,very sad.
 
Ni kweli mkuu,hatuna jinsi,ila I wish all of humanity would have to unity,naamini tungeweza kufanya kitu katika uwingi wetu,badala yake watu wamezamia kwenye petty issues kama Yanga na Simba, major and important issues zinasukumwa pembeni,very sad.
Binadamu wote hawawezi kuwa na ubongo mbovu kama wako ambao uko kwenye hallucinations masaa 24 kila siku.
 
Subiri watu watakapoanza kulazimishwa kumwabudu shetani ndio akili zitwakaa sawa
 
Wachambuzi kutoka Benki Kuu ya Urusi wamegundua kwamba kuacha dola ya Marekani kwa ajili ya makazi ya biashara ya nje haitakuwa rahisi kutokana na muundo wa mikataba ya biashara. Uchambuzi huo unatokana na ripoti yenye kichwa: "Mapitio ya Sekta ya Fedha ya Urusi na Vyombo vya Kifedha," iliyotolewa na Benki Kuu ya Urusi mnamo Aprili 11, ambayo inachunguza hatari ambazo nchi bado inaweza kukabiliana nayo kutokana na vikwazo vya Marekani.

Ripoti hiyo yasema kwamba “haitawezekana kabisa kuacha kutumia dola za Marekani au euro bila kandarasi za kuagiza bidhaa kutoka nje kuhamishiwa malipo ya rubles au sarafu za nchi rafiki.” Sababu ya hii inasemekana kuwa ni jinsi bei za kandarasi za kuagiza zinavyopangwa kwa dola za Marekani na euro na jinsi watoa huduma wengi bado wanapendelea kupokea malipo katika sarafu za nchi rafiki.

Kwamba ^haitawezekana^? Seriously? Hivi vita vya Russia na Marekani vinaendelea kuibuka na mambo mengi sana ambayo ni mapya na radical, on a daily basis. It's just a matter of time.

Angalia mbinu ya vita ya Mrusi ndipo ujue wamelenga mbali sana. Hawana haraka, na kila upande (America-NATO's Ukraine & Russia) umeapa kutimiza malengo yake. That alone, I believe, says a lot.
 
Uko sahihi kabisa mkuu. Humanity is suffering from what we call Mass Formation Psychosis, hadi huruma.
Sijui kama amekuelewa hata. Let me shed some light.

Psychosis is when people lose some contact with reality.

Mass formation psychosis
is when a large part of a society focuses its attention to a leader(s) or a series of events and their attention focuses on one small point or issue. Followers can be hypnotized and be led anywhere, regardless of data proving otherwise.

^Wafuasi husika wanaweza kuvuanzwa (kupumbazwa akili) wakaongozwa kwenda popote, licha ya ushahidi uthibitishao vinginevyo.^
 
Asante mkuu,nadhani kakuelewa,and that is exactly what is happening.Humanity inasikitisha sana frankly.
 
Gadaffi alitaka kuanzisha currencies za gold coins ila wakamuwahi na kummaliza

Ila yanayokuja ni matamu naona wamepiga pale pale au ni ndoto kwa wasiotaka ukweli
Hata Trump amesema ndio mwanzo wa USA kuporomoka na $ zake
IMG-20230416-WA0014.jpg
IMG-20230416-WA0012.jpg
IMG-20230416-WA0007.jpg
IMG-20230416-WA0005.jpg
 
Gadaffi alitaka kuanzisha currencies za gold coins ila wakamuwahi na kummaliza

Ila yanayokuja ni matamu naona wamepiga pale pale au ni ndoto kwa wasiotaka ukweli
Hata Trump amesema ndio mwanzo wa USA kuporomoka na $ zake
View attachment 2590187View attachment 2590190View attachment 2590192View attachment 2590193
Wanaong'ania kwamba dominance of the US$ as a World Reserve Currency is intact and is not waining nadhani vichwa vyao ni vigonjwa.Nadhani ni muda muafaka sasa wa kuacha ku-bury their heads in the sand and take appropriate steps kama they are paid in US$ or hold foreign accounts in US$.Real assets ndio deal sasa,sio fedha.
 
Wanaong'ania kwamba dominance of the US$ as a World Reserve Currency is intact and is not waining nadhani vichwa vyao ni vigonjwa.Nadhani ni muda muafaka sasa wa kuacha ku-bury their heads in the sand and take appropriate steps kama they used to be paid in US$ or hold foreign accounts in US$.
Walimcheka Rutto wakamuona mwehu
Haya mambo hutokea kila baada ya miaka 70 au 100
History repeats itself
Naona anguko kubwa sana linakuja
 
Hakuna mbadala wa dola ya Marekani jihadists wanahangaika bure tu. Sarafu nyingi zinazidi kupoteza thamani dhidi ya dola madafu yetu ikiwemo.

Yuan haiwezi kutumika nje ya China kwa sababu China wanaogopa itaathiri thamani yake na kufanya wapoteze status yao kama the world's largest exporter to the US, hivyo hizo ni porojo tu za kisiasa.
 
Walimcheka Rutto wakamuona mwehu
Haya mambo hutokea kila baada ya miaka 70 au 100
History repeats itself
Naona anguko kubwa sana linakuja
Nanunua coin kila kukichaaa.. huenda nikawa mmoja ya watu wenye pesa miaka ya mbeleni 😅😅
 
Back
Top Bottom