Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Digital currency is futurity. We cant escape it but to live it. I know globalists they do carry the dark side of the coin with them. Sasa mkuu unadhani tuna cha kufanya? We live to see the happenings of the future.Na trial runs za Digital Currencies zinazofanywa all over the World unazizungumziaje.Infact US wanafanya trial runs in five major Banks!
"Unasema miafrika mmebaki,"wewe ni mzungu?Anyway fanya utafiti wa kina wa Mwafrika utam-appreciate badala ya kum-ridicule.Laiti ungejua kwamba mikati ya CBDCs ni uovu mtupu usingeona kwamba Mwafrika hana maana.Yaani miafrika mmebaki kuwa watazamaji na kusubiri wengine wawafanyie kila kitu, nyie kazi yenu kulalamika na kulialia tu.
Ni kweli mkuu,hatuna jinsi,ila I wish all of humanity would have unity,naamini tungeweza kufanya kitu katika uwingi wetu,badala yake watu wamezamia kwenye petty issues kama Yanga na Simba, major and important issues kama hizi zinasukumiwa pembeni,very sad.Digital currency is futurity. We cant escape it but to live it. I know globalists they do carry the dark side of the coin with them. Sasa mkuu unadhani tuna cha kufanya? We live to see the happenings of the future.
Binadamu wote hawawezi kuwa na ubongo mbovu kama wako ambao uko kwenye hallucinations masaa 24 kila siku.Ni kweli mkuu,hatuna jinsi,ila I wish all of humanity would have to unity,naamini tungeweza kufanya kitu katika uwingi wetu,badala yake watu wamezamia kwenye petty issues kama Yanga na Simba, major and important issues zinasukumwa pembeni,very sad.
I'm very sorry for you. You've eyes but you cannot see. A blind person is likely way better than you, as far as eyesight and discernment are concerned.
Subiri watu watakapoanza kulazimishwa kumwabudu shetani ndio akili zitwakaa sawa
I take it as a positive compliment. Ungekuwa wise ungesema time will tell. You cannot just rub off the things you don't like or find unfamiliar as simply foolishness. What's your point, mkuu?Mmejazwa ujinga.
Kwamba ^haitawezekana^? Seriously? Hivi vita vya Russia na Marekani vinaendelea kuibuka na mambo mengi sana ambayo ni mapya na radical, on a daily basis. It's just a matter of time.Wachambuzi kutoka Benki Kuu ya Urusi wamegundua kwamba kuacha dola ya Marekani kwa ajili ya makazi ya biashara ya nje haitakuwa rahisi kutokana na muundo wa mikataba ya biashara. Uchambuzi huo unatokana na ripoti yenye kichwa: "Mapitio ya Sekta ya Fedha ya Urusi na Vyombo vya Kifedha," iliyotolewa na Benki Kuu ya Urusi mnamo Aprili 11, ambayo inachunguza hatari ambazo nchi bado inaweza kukabiliana nayo kutokana na vikwazo vya Marekani.
Ripoti hiyo yasema kwamba “haitawezekana kabisa kuacha kutumia dola za Marekani au euro bila kandarasi za kuagiza bidhaa kutoka nje kuhamishiwa malipo ya rubles au sarafu za nchi rafiki.” Sababu ya hii inasemekana kuwa ni jinsi bei za kandarasi za kuagiza zinavyopangwa kwa dola za Marekani na euro na jinsi watoa huduma wengi bado wanapendelea kupokea malipo katika sarafu za nchi rafiki.
Bank of Russia Analysts Note Ditching US Dollar Is 'Hardly Possible' Without Structural Changes to Foreign Trade – Economics Bitcoin News
A report from the research department of the Bank of Russia shows that it will be difficult to ditch the U.S. dollar to settle payments.news.bitcoin.com
Sijui kama amekuelewa hata. Let me shed some light.Uko sahihi kabisa mkuu. Humanity is suffering from what we call Mass Formation Psychosis, hadi huruma.
Asante mkuu,nadhani kakuelewa,and that is exactly what is happening.Humanity inasikitisha sana frankly.Sijui kama amekuelewa hata. Let me shed some light.
Psychosis is when people lose some contact with reality.
Mass formation psychosis is when a large part of a society focuses its attention to a leader(s) or a series of events and their attention focuses on one small point or issue. Followers can be hypnotized and be led anywhere, regardless of data proving otherwise.
^Wafuasi husika wanaweza kuvuanzwa (kupumbazwa akili) wakaongozwa kwenda popote, licha ya ushahidi uthibitishao vinginevyo.^
Wanaong'ania kwamba dominance of the US$ as a World Reserve Currency is intact and is not waining nadhani vichwa vyao ni vigonjwa.Nadhani ni muda muafaka sasa wa kuacha ku-bury their heads in the sand and take appropriate steps kama they are paid in US$ or hold foreign accounts in US$.Real assets ndio deal sasa,sio fedha.Gadaffi alitaka kuanzisha currencies za gold coins ila wakamuwahi na kummaliza
Ila yanayokuja ni matamu naona wamepiga pale pale au ni ndoto kwa wasiotaka ukweli
Hata Trump amesema ndio mwanzo wa USA kuporomoka na $ zake
View attachment 2590187View attachment 2590190View attachment 2590192View attachment 2590193
Walimcheka Rutto wakamuona mwehuWanaong'ania kwamba dominance of the US$ as a World Reserve Currency is intact and is not waining nadhani vichwa vyao ni vigonjwa.Nadhani ni muda muafaka sasa wa kuacha ku-bury their heads in the sand and take appropriate steps kama they used to be paid in US$ or hold foreign accounts in US$.
Waambie hawa pimbiSubiri watu watakapoanza kulazimishwa kumwabudu shetani ndio akili zitwakaa sawa
Nanunua coin kila kukichaaa.. huenda nikawa mmoja ya watu wenye pesa miaka ya mbeleni 😅😅Walimcheka Rutto wakamuona mwehu
Haya mambo hutokea kila baada ya miaka 70 au 100
History repeats itself
Naona anguko kubwa sana linakuja
Lazima uwe tajiri baadae na mimi usinisahau basiNanunua coin kila kukichaaa.. huenda nikawa mmoja ya watu wenye pesa miaka ya mbeleni [emoji28][emoji28]