Wow!The one World Digital Currency is almost here, but first they have to collapse the global financial system to make way for it

Walimcheka Rutto wakamuona mwehu
Haya mambo hutokea kila baada ya miaka 70 au 100
History repeats itself
Naona anguko kubwa sana linakuja
Mkuu unajua,it is queer that people did not see this coming.This is something which has been in the making and predicted thousands of years ago.Tatizo ni kwamba watu wanajifanya wajuaji,kumbe hawajui kitu kwa kuwa hawataki kusoma.Kwa bahati mbaya sana sasa, wanaojua wakiwaambia,oh ni conspiracy theories.Inachekesha kweli kweli.

Finally mkuu, it is not correct that this thing "repeats" itself after some time.You people must realize that we are going towards the "end of time" and Gods' Kingdom is coming to earth.This means that all that you knew will be no more,but first Satan must rule the World for a brief period of seven years and then God will destroy him with his people.

The most important question to ask yourself is on which side will you be,Satans' side or Gods' side.
 
Lazima uwe tajiri baadae na mimi usinisahau basi
Hatuwezi kujua yajayo na tusiyapuuze

Acha tusubiri tuone ila kama unanunua well and good [emoji1531]
Kila nikikumbuka bitcoin, miaka ya 2009 hadi 2012.. kuna jamaa yangu alinunua kama utani utani bitcoin 998 .. sasa hivi sio mwenzangu anaishigi dubai 😅😅
 
Urusi nao wanahusika na mambo ya NWO?
 
Urusi nao wanahusika na mambo ya NWO?
Kuna maelezo yanayokinzana kuhusu Urusi.Taarifa zingine zinasema hawapo kwa kuwa wanaonekana kupingana sana na misimamo ya Serikali za kimagharibi.Wengine hata hivyo wanasema Urusi imo,kinachoendelea ni kuwa-confuse Wanadamu ili wasijue kinachoendelea.
Hii si ajabu kwa NWO,kwa kuwa wanafanya hivyo mara nyingi.

Hawa wanaosema Urusi wamo wana-kuwa supported by the fact that Putin ni graduate wa programme ya WEF Global Young Leaders.Wale wanaosema Urusi hawamo,hoja yao ina nguvu zaidi i.e.they have a stronger case,hasa ukiangalia Historia ya ugomvi wao na Khazarian Mafia,ambao ndio vinara wa kuleta the One World Government.

Urusi na Khazarian Mafia wana uadui wa siku nyingi kwa kuwa Urusi walichangia sana kuisambaratisha the Khazarian Kingdom,ambayo ili occupy all of the present day Ukraine.Wakhazaria hawajawasamehe kabisa Urusi kwa tendo lao lile,so wanachofanya sasa kwa kuitumia Ukraine kama proxy, ni kulipiza kisasi.Infact hata kuisambaratisha the former USSR wao ndio waliohusika na ilikuwa pia kulipiza kisasi.Khazarian Mafia waliamini kabisa kwamba kazi walioianza kwa kuisambaratisha USSR wataimaliza sasa kwa kuwa wameshaidhoofisha,kumbe it was a miscalculation.
 
Hizi story huwa mnazitoa wapi?
These are not stories, this is true.Imetokea huko nyuma kwa Baal,and before the end of time it will happen once more.Kwanza already Lucifer is worshipped,but not openely,na hata wewe you could be worshiping Satan without knowing.

However,Satan will seek to be worshipped as God,tena by force openely in the "Great Tribulation."
 
You are so misguided,hata Federal Reserve wenyewe hawana illusion hiyo,wao they believe the dominance of the US$ as a reserve currency is gone,sasa wewe Mswahili wa Manzese bado unang'ng'ania,ajabu sana.
 
It is coming,mbona wao wenyewe wanasema?!Fuatilia WEF utaliona hili wazi.Na mbona zipo Websites nyingi sana kuhusu swala hili?
Naomba kuzifahamu hizo websites mkuu
Jana nilitumia masaa matano YouTube kuangalia Makala mbali mbali kuhusu Taiwani na dominance yake ya kuzalisha semiconductors nk

Nilijifunza mengi , hii Dunia Kuna vitu vinafanyika ni danganya toto tu kutuandaa na NWO kwa mfano vita ya Ukraine vs Russia na tension kati ya China na Taiwan bila kusahau hili suala la De-Dollarization
 
Ni kweli mkuu na nitakupa hizo websites,nyingi tu.
 
Losing valuable digital assets like cryptocurrency can be a nightmare, but there are specialized services available to help recover them. That's exactly the situation I found myself in when a simple Bitcoin transaction went awry due to a technical error. Feeling panicked and unsure of what to do, I turned to Hack Buster Recovery, a leading provider of cryptocurrency recovery solutions. They quickly got to work, leveraging their expertise in blockchain technology and intricate knowledge of the complex web of digital wallets, exchanges, and networks. Through a meticulous investigative process, the Hack Buster Recovery team was able to trace the path of my errant Bitcoin, which had somehow become trapped in a digital limbo between accounts. With patience and precision, they navigated the convoluted trails, dodging roadblocks and dead ends, until finally locating the lost funds.
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2024-11-28 at 02.10.30_6eb00d79.jpg
    64.8 KB · Views: 0
Whatever happened has one aim,and that is all is fine with digital wallets,but not at all.The end game is to enslave you by creating a system where you will not be able to by or sell,unless you totally submit to the Global System controlled by none other than Satan himself.It is an extremely smart and secretive plan which only a handful can see.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…