Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,265
hahaha asante kwa kutuchekesha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..Hii ni kali kabisaaa. Leo week end itaanza vizuri sana!![]()
'Nguli' ndani ya Dar akizunguka barabara ya Kawawa kusaka michongo ya w/end
Hahahaha nimecheka sana leo!..Hii ni kali kabisaaa. Leo week end itaanza vizuri sana!
Hicho ndo kilichonishtua mkuu!Its very funny. Ila kakosea kidogo, kushika tochi, Kisayansi ni kuwa mwanga husafiri katika mstari myoofu, sasa huu unaonekana umepinda, labla angeongeza kuwa ndani ya mbwa kuna "prism" inayopinda mwanga