Wowowo...

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,443
Reaction score
3,002
nanukuu................."wowowo............zawadi ya kudumu ni kubarikiwa wowowo,hata ujirembe vipi, sisi tuna tizama wowowooo, sura hata mbuzi anayo ila sasa wowooooo,"huyu msanii hi nyimbo yake ni kiboko kapita mule mule, asilimia 95% ya wanaume na hakika wanapenda wowowoo, hata kwa kuangalia fahari ya macho.
 
Mie sina hata hilo wo wowo ila najiona nimebarikiwa aisee. Hongera zao wale wote wenye hayo mawo wowo. Sie tusionayo wacha tukae kimya.

Ila wanaume mnapenda kuangalia eti fahari ya macho duuh.
Yaani we umebarikiwa. Anayebisha anipm
 
wowowo ni nzuri ikibaki ndani ya nguo.
bila nguo ni kichefuchefu!
 
Ila nyie viumbe huwa hamjulikaniki nini mnataka unaweza kuwa na mwenye hilo mnaosema wowowo na akapita kipotabo ukakipenda
asikwambie mtu kipotabo unakipa sifa za kishamba tu, ila hata ukiwa nacho likipita wowowo lazima macho ya kutokee..usichezee na wowowo, hali jifichi hata kwenye baibui
 
MTU ana liwowowo hilo lakini maradhi alonayo ni mengi, hio afya kivipii??
afya ya machoo mkuu[kwa kulitazama], sio kila ukiona wowowo utake ulione likiwa halina nguo.....na wadada washajua ugonjwa wetu so wanatumia mbolea alioleta mchina ya kukuza wowowo
 
afya ya machoo mkuu[kwa kulitazama], sio kila ukiona wowowo utake ulione likiwa halina nguo.....na wadada washajua ugonjwa wetu so wanatumia mbolea alioleta mchina ya kukuza wowowo
Kumbe afya ya macho?? Loooh
 
Mie sina hata hilo wo wowo ila najiona nimebarikiwa aisee. Hongera zao wale wote wenye hayo mawo wowo. Sie tusionayo wacha tukae kimya.

Ila wanaume mnapenda kuangalia lol eti fahari ya macho duuh.

[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Wala asikutishee shogaaa ile fahari ya macho tuuu[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…