Wowowo...

Wowowo...

nanukuu................."wowowo............zawadi ya kudumu ni kubarikiwa wowowo,hata ujirembe vipi, sisi tuna tizama wowowooo, sura hata mbuzi anayo ila sasa wowooooo,"huyu msanii hi nyimbo yake ni kiboko kapita mule mule, asilimia 95% ya wanaume na hakika wanapenda wowowoo, hata kwa kuangalia fahari ya macho.
Ubaya wa wowowo linachacha mzee baba
ebbacdb6e398f6fbfbe4ea55b0f8d026.jpg

Angalia zigo hilo kwanza.
Afu niambie baada ya miaka miwili kama ataweza panda ist.
Hata mabasi yanamkataa huyo.
Na mwendo kasi analipa Mara mbili.
Huo mzigo... Raha yake ulidunge Mara moja usepe
 
Mkuu nikishindana na nyie wanaume nitajikuta mwisho wa siku nakuwa chizi sababu hamueleweki nini mnapenda.

Huyo huyo mwenye wo wowo anaweza pita sehemu wala watu wasishituke. Hahahahaaa.
labda apite kwa watoto!!! wowowo lazima litazamwe na yeyote aliye rijali
Inatakiwa utoshe pia machoni pawatu wapenda wowowo kama mm.
 
hahah medicci.............wowowo halijawai muacha mtu salama
 
ila tukumbuke kuna kiji wowowo....kama cha tununu, kuna wowowo kama la masogange na kuna jiwowowooo kama la sanchiz...we unapenda lipi?
 
Yaan haya mawowowo yatatutoa roho tusiokuwa nayo hahahaaa mnatufanya mpka tunajishtukia bhana, vibaya hivyo
 
Bahati mbaya wenye wowo wanaliwa na kuachwa tu, hawaolewi kirahisi na ukimuoa kila kidume lazima kitest mzigo
 
Yaan haya mawowowo yatatutoa roho tusiokuwa nayo hahahaaa mnatufanya mpka tunajishtukia bhana, vibaya hivyo
jullymeme...usijiskie vibaya bhana, watu sasa wanataka african bambataa, mambo ya dola moja aka english figure kwa wazungu,situnataka tukunyema aka ngongingo aka msambwanda aka chura aka wowowo.kama huna jibusti na kigodoro haha in tindu voice
 
Ila nyie viumbe huwa hamjulikaniki nini mnataka unaweza kuwa na mwenye hilo mnaosema wowowo na akapita kipotabo ukakipenda

sio akakipnda...Bali huwa nitamaa tu..bdo haujatujua tu wanaume sio kila mwanamke tunayemtaka au kulala nae huwa tunampnda...huwa tunalala nao tu kama Tania ykupnda ngono nasio upendo...upendo huwa unaishi kwa mwanamke mmoja tu...wengine huwa ni starehe...hahaha
 
asikwambie mtu kipotabo unakipa sifa za kishamba tu, ila hata ukiwa nacho likipita wowowo lazima macho ya kutokee..usichezee na wowowo, hali jifichi hata kwenye baibui

hahaaa naunga hoja.....
 
jullymeme...usijiskie vibaya bhana, watu sasa wanataka african bambataa, mambo ya dola moja aka english figure kwa wazungu,situnataka tukunyema aka ngongingo aka msambwanda aka chura aka wowowo.kama huna jibusti na kigodoro haha in tindu voice
[emoji23][emoji23]inabid nicheke tu maana hakuna namna sasa
 
nanukuu................."wowowo............zawadi ya kudumu ni kubarikiwa wowowo,hata ujirembe vipi, sisi tuna tizama wowowooo, sura hata mbuzi anayo ila sasa wowooooo,"huyu msanii hi nyimbo yake ni kiboko kapita mule mule, asilimia 95% ya wanaume na hakika wanapenda wowowoo, hata kwa kuangalia fahari ya macho.

Kumbe wanaume tunaopenda Inglish Figa n wachache hivii 5%??,
 
Mie sina hata hilo wo wowo ila najiona nimebarikiwa aisee. Hongera zao wale wote wenye hayo mawo wowo. Sie tusionayo wacha tukae kimya.

Ila wanaume mnapenda kuangalia lol eti fahari ya macho duuh.

[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Yana raha yake yale kuyatazama, hususan yakiwekwa vizuri kwa dera, daaah!
 
Wachina wanaleta mbolea... Haujuh?? Ninalipenda likiwa so natural....... Sanaaaaaa

SASA SISI TWAPENDA WOWOWO JE WANAWAKE MWAPENDA NN???
 
Ila nyie viumbe huwa hamjulikaniki nini mnataka unaweza kuwa na mwenye hilo mnaosema wowowo na akapita kipotabo ukakipenda

hii kitu ni noma aisee

ila ktk huo wimbo napenda sana biti lake daaaaaa
 
Back
Top Bottom