colin_morgan
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,443
- 2,912
Wala hata usiumie...wenye wowowo huwa tunawataman kuwatafuna tuu.Mie sina hata hilo wo wowo ila najiona nimebarikiwa aisee. Hongera zao wale wote wenye hayo mawo wowo. Sie tusionayo wacha tukae kimya.
Ila wanaume mnapenda kuangalia lol eti fahari ya macho duuh.
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Sina mkuuunalo wowowoooo
Sina ndio...kwa sauti ya sheik kipoozeo '' neema za allaaaah''huna kumbe
Hah ha sie ni kama mazombie si usiku si mchana afu hatuishiwi midamu japo kila mda inavuja.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila nyie viumbe huwa hamjulikaniki nini mnataka unaweza kuwa na mwenye hilo mnaosema wowowo na akapita kipotabo ukakipenda
Wowowo wowowoEmmyta hana mapenzi na picha hivyo hata hana.
Best we pia unahusudu hayo mawo wowo nini?Wowowo wowowo
Yanavutia sana kuyatizama ila kwenye migegedo hayana kaziBest we pia unahusudu hayo mawo wowo nini?
Oooh. KumbeeeeYanavutia sana kuyatizama ila kwenye migegedo hayana kazi
.Wala asikutishee shogaaa ile fahari ya macho tuuu[emoji1][emoji1][emoji1]
Unajitoshaeee!Akaaaaaa. Nilivyo natosha kabisa.
Inatakiwa utoshe pia machoni pawatu wapenda wowowo kama mm.Akaaaaaa. Nilivyo natosha kabisa.
Kwasasa tunapenda wo wowo keshokutwa tutaanza kupenda wabeba vyuma.Mkuu nikishindana na nyie wanaume nitajikuta mwisho wa siku nakuwa chizi sababu hamueleweki nini mnapenda.
Huyo huyo mwenye wo wowo anaweza pita sehemu wala watu wasishituke. Hahahahaaa.
Poa shedede za wewe kweli nyie mazombieHah ha sie ni kama mazombie si usiku si mchana afu hatuishiwi midamu japo kila mda inavuja.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo.?
Nzur sana,mambo mengine vipi?Poa shedede za wewe kweli nyie mazombie