dah afu kweli!!!!!!!wowowo ni nzuri ikibaki ndani ya nguo.
bila nguo ni kichefuchefu!
Ubaya wa wowowo linachacha mzee babananukuu................."wowowo............zawadi ya kudumu ni kubarikiwa wowowo,hata ujirembe vipi, sisi tuna tizama wowowooo, sura hata mbuzi anayo ila sasa wowooooo,"huyu msanii hi nyimbo yake ni kiboko kapita mule mule, asilimia 95% ya wanaume na hakika wanapenda wowowoo, hata kwa kuangalia fahari ya macho.
labda apite kwa watoto!!! wowowo lazima litazamwe na yeyote aliye rijaliMkuu nikishindana na nyie wanaume nitajikuta mwisho wa siku nakuwa chizi sababu hamueleweki nini mnapenda.
Huyo huyo mwenye wo wowo anaweza pita sehemu wala watu wasishituke. Hahahahaaa.
Inatakiwa utoshe pia machoni pawatu wapenda wowowo kama mm.
Aridhi yenye milima na mabonde ni bora kwa kilimo kuliko ardhi tambarale! We angalia Dar kila siku mafuriko!Kwani wowowo inasaidia nn.
jullymeme...usijiskie vibaya bhana, watu sasa wanataka african bambataa, mambo ya dola moja aka english figure kwa wazungu,situnataka tukunyema aka ngongingo aka msambwanda aka chura aka wowowo.kama huna jibusti na kigodoro haha in tindu voiceYaan haya mawowowo yatatutoa roho tusiokuwa nayo hahahaaa mnatufanya mpka tunajishtukia bhana, vibaya hivyo
Ila nyie viumbe huwa hamjulikaniki nini mnataka unaweza kuwa na mwenye hilo mnaosema wowowo na akapita kipotabo ukakipenda
asikwambie mtu kipotabo unakipa sifa za kishamba tu, ila hata ukiwa nacho likipita wowowo lazima macho ya kutokee..usichezee na wowowo, hali jifichi hata kwenye baibui
[emoji23][emoji23]inabid nicheke tu maana hakuna namna sasajullymeme...usijiskie vibaya bhana, watu sasa wanataka african bambataa, mambo ya dola moja aka english figure kwa wazungu,situnataka tukunyema aka ngongingo aka msambwanda aka chura aka wowowo.kama huna jibusti na kigodoro haha in tindu voice
nanukuu................."wowowo............zawadi ya kudumu ni kubarikiwa wowowo,hata ujirembe vipi, sisi tuna tizama wowowooo, sura hata mbuzi anayo ila sasa wowooooo,"huyu msanii hi nyimbo yake ni kiboko kapita mule mule, asilimia 95% ya wanaume na hakika wanapenda wowowoo, hata kwa kuangalia fahari ya macho.
Yana raha yake yale kuyatazama, hususan yakiwekwa vizuri kwa dera, daaah!Mie sina hata hilo wo wowo ila najiona nimebarikiwa aisee. Hongera zao wale wote wenye hayo mawo wowo. Sie tusionayo wacha tukae kimya.
Ila wanaume mnapenda kuangalia lol eti fahari ya macho duuh.
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ila nyie viumbe huwa hamjulikaniki nini mnataka unaweza kuwa na mwenye hilo mnaosema wowowo na akapita kipotabo ukakipenda
Hahahaha vipi kuhusu nyinyiIla nyie viumbe huwa hamjulikaniki nini mnataka unaweza kuwa na mwenye hilo mnaosema wowowo na akapita kipotabo ukakipenda