Wate(Jux na Vee) wamevuka mipaka sio??!!sio mbaya acha tu waonyeshane makali
Huu ni ujinga na unajuaHalafu kuna watu wapo bussy kwenye mitandao wanamlaumu "V MONEY" kumtema yule mbongo mwenzetu "MWANAUME SURUALI" (aliekua na kibanda pale sinza kikabomolewa na wanamgambo wa city), then kudate na huyu jamaa anaejitambua.
Wabongo sijui nani alituroga.
uyu mwamba aka yake ni Dre the snitch tafuta series moja inaitwa power ya 50 cent utamkubali jamaa anajua bonge LA series ya wauza drugs na wanavyo windwa na DEA huto jutia muda wako