Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
- Thread starter
- #41
Wewe na wenzio ndio mmepotea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli anafaidi akienda firdaus anapewa wengine 72 bikra..Raha sana kama ni hivyo. Anajipayia toto original sio la mkorogo na nywele za maiti. Au wewe unaonaje? Raha siyo raha?
[emoji23][emoji23][emoji23] una tabuuuh wee Bibi angu lolNa bado...
Kukiuka baadhi ya masharti kwenye hakukufanyi kutokuwa member wa dini hiyo , wangapi Wana tatoos lakini Ni wakiristo, eg beckam, rashford , Sterling , Carlos, ederlson, Drake ,etc yaani point yako Ni Kama vile mtu awe mwizi halafu umwambie mtu huyo sio mkiristo au mwislamu kwa kuwa tu mwizi , kwa kuwa wizi umekatazwa kwenye dini hizoWalawi 19:28 “Msichanje chale yoyote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu, mimi ndimi BWANA”
Agano la Kale
1 wakorinto 6:19-20
19.Au hamjui mwili wenu ni Hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani Yenu,mliyepewa na Mungu?? na wala Ninyi si Mali Yenu wenyewe.
20.Maana mlinunuliwa Kwa thamani,Sasa basi ,Mtukuzeni Mungu katika Miili Yenu.
Agano Jipya
Post namba 23 nilikuwekea wachungaaji wa kondoo waliopotea walioiona Nuru na kurudi, sasa na huyu alikuwa Buddhist kawa Sheikh. Jionee...Mnajilipua au?
Huyo wrestler hakuwa Mkristo look at his body amejaa tattoos na huo sio Ukristo.
.
Leteni habari za waliokuwa Wakristo, Wahindu, Wayahudi na Buddha kusilimu sio atheist kama huyo we real don't care.
Sijamalizana na wewe bado, huyu alikuwa mhindu kaiona Nuru...Mnajilipua au?
Huyo wrestler hakuwa Mkristo look at his body amejaa tattoos na huo sio Ukristo.
.
Leteni habari za waliokuwa Wakristo, Wahindu, Wayahudi na Buddha kusilimu sio atheist kama huyo we real don't care.
[emoji23]hahaha...kibaka wa kizungu kasilimu Miafrika inashangilia
Uislam unatumia nguvu ya propaganda mkuuCha ajabu ni nini mpk uzi undikwe?
Sijamalizana na wewe bado, huyu alikuwa mhindu kaiona Nuru...
Unangoja nini?
Brother, nauhakika unawafahamu John Cena na Cristiano Ronaldo hivi umewahi kujiuliza kwanini hawajichori licha ya kuwa ma-star wakubwa?Kukiuka baadhi ya masharti kwenye hakukufanyi kutokuwa member wa dini hiyo , wangapi Wana tatoos lakini Ni wakiristo, eg beckam, rashford , Sterling , Carlos, ederlson, Drake ,etc yaani point yako Ni Kama vile mtu awe mwizi halafu umwambie mtu huyo sio mkiristo au mwislamu kwa kuwa tu mwizi , kwa kuwa wizi umekatazwa kwenye dini hizo
Ukiwa unaandika ujinga unatakiwa uwe mvumilivu kijana,hapa uko vitani usimchagulie silaha adui yako. Acha upigwe tu ili akili ikukae sawa.Ni mimi nimesema Naoa usiku asubuhi naacha, sio mama yangu. Usinitafutie Ban we bi mkubwa.
Ni mtume na mja wa Allah, hakuna la zaidi baada ya hayo.Nangoja ujio wa Kristo, maana alisema hakuna atakaye urithi ufalme wa mbingu bila yeye.
Unamchukuliaje Yesu nje ya kuwa Masihi wa bwana?
Tender hiyo inatangazwa kuwa kuna mwanaume kashachukua cheti cha kuongeza ma-wifeCha ajabu ni nini mpk uzi undikwe?
kuepuka kukwazwa uwe unaacha kucoment ujinga mkuu, pole sana.Hii comment imenikwaza. Whatever she has been through in her life, my mother is the holy spirit to me. Don't bring her here please.
Biblia haimtambui Yesu Kristo kama mtume na wala hakuwahi kumtumikia Allah.Ni mtume na mja wa Allah, hakuna la zaidi baada ya hayo.
Sasa itamtambua vipi wakati hakuna mtume aliyepewa kitabu kinachoitwa Biblia. Yesu alipewa injili, na huwezi kuta hayo mnayo yadai katika injili zaidi ya story za uongo, Musa alipewa Taurati, Dawood alipewa Zaburi. Sasa Biblia ni mkisanyiko wa vitabu visivyojulikana waandishi wake ni kina nani, kwahiyo watu walikuwa wanna andika wanayo yataka wao.Biblia haimtambui Yesu Kristo kama mtume na wala hakuwahi kumtumikia Allah.
Nina sababu kadhaa;
1. Yesu hajawahi kuabudu Makkah.
Historia ya Allah inafahamika ni moja ya Miungu mingi ya Kiarabu na wafuasi wake toka awali walikuwa wakiabudu eneo lile lile kabla hata ya ujio wa Uislamu.
2. Yesu alisema yeye ni njia ya kweli na uzima hakuna atakayekwenda kwa baba bila yeye ndio maana kama umewahi kutusikia Wakristo tukisali tunapomaliza tunasema (Katika Jina la Yesu Kristo) ila wafuasi wa mtume Muhammad wanamtaja yeye hii inamu-exclude Yesu automatically upande wa Allah.
Zipo nyingi zitoshe kwa sasa hizo
Huyo atakuja kuwasuta nyinyi mnaomzulia kuwa eti yeye "Mungu".Nangoja ujio wa Kristo, maana alisema hakuna atakaye urithi ufalme wa mbingu bila yeye.
Unamchukuliaje Yesu nje ya kuwa Masihi wa bwana?
Hatuenezi ushirikina bali upendo. Hatuna surat jin sisi.Sasa itamtambua vipi wakati hakuna mtume aliyepewa kitabu kinachoitwa Biblia. Yesu alipewa injili, na huwezi kuta hayo mnayo yadai katika injili zaidi ya story za uongo, Musa alipewa Taurati, Dawood alipewa Zaburi. Sasa Biblia ni mkisanyiko wa vitabu visivyojulikana waandishi wake ni kina nani, kwahiyo watu walikuwa wanna andika wanayo yataka wao.
Yesu kaondoka hakuacha UKRISTO duniani, bali Wakristo mnatumia kivuli chake kueneza USHIRIKINA wenu.
Ahsante.
Huyo atakuja kuwasuta nyinyi mnaomzulia kuwa eti yeye "Mungu".
Jionee na sikiliza ushauri ambao wenzako makundi kwa makundi wanaufata...