Write up services

Write up services

IPILIMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,819
Reaction score
801
Tunaandaa writeups za matumizi na malengo mbalimbali katika kuwezesha harakati mbalimbali za kimaendeleo; watu binafsi na taasisi mbalimbali nk.
Tunatayarisha Maandiko haya kitaalamu, kiufasaha, kwa mda mfupi na kwa gharama nzuri.

Baadhi ya write-ups tumewafanyia watu ni zile za mlengo wa ;
Kutafuta ufadhili/ruzuku
Kutafuta mikopo kibiashara
Kuanzisha mradi Mpya
Kupanua Mradi/biashara
Kutafuta mwekezaji/mbia ktk Mradi
Kusajili NGO au Kampuni
Kutafuta masoko mapya ya bidhaa
Kufanya utafiti fulani
Kufanyia monitoring and Evaluation ya mradi
Kushawishi uwekezaji kutumia rasilimali Fulani
Nk.
Niko Mbeya na huwa napatikana Dar wakati mwingine.

Jambo la msingi ni kuwa Write-ups katika kufanya Effective planning ni mhimu sana, halihitaji kupuuzwa kama ilivyo kwa wengi wetu.

Wasiliana nasi tuone cha kufanya katika mawazo yako ya kimaendeleo.
www.kimiconsultancy.blogspot.com
kimiconsultancy@gmail.com

Au nipm
 
Karibuni...japo thread hizi hazina wachangiaji sana, wengi hupita na kwenda pm. Thanks a lot kwa walio pm, tuko pamoja, duh kujiajiri wito!!! Karibu na wewe leo, tugawane kazi.
 
Hahahaaa.. This is something good. Hasa kutafuta masoko mapya...
 
Wengi wetu hufikilia kuwa kupata huduma za ushauri wa kitaalamu (consultancy services) ni kupoteza mda na pia kupoteza fedha......lakini tutofautishe Ushauri wa kawaida na wa Kitaalamu....ndio maana watu wanasomea fani mbalimbali na wengine kuwekeza zaidi katika maeneo fulani ya utaalamu...ili tu wale ambao hawajafikia hiyo hatua waweze kufanyiwa na waliofikia. Ushauri wa kitaalamu ni mhimu sana katika kuleta ufanisi na kufikia malengo tarajiwa (endapo tu mshauriwa atafanya kwa kadri ya ushauri.....ni kama vile ushauri wa dakitari aliye vizuri ktk taaluma yake...mgonjwa ni wajibu wake kufuata.......asipo fuata hawezi kupona) hivyo ndivyo ilivyo kwa Washauri wa FIELD zingine kama zetu.......

Ushauri wa kitaalamu huzingatia vigezo na utaalamu usio na chembe za tabia za binadamu kama wivu, uwongo, uvivu, upendeleo nk.

Hivyo gharama za Ushauri zusiwe kikwazo, kwani ni sehemu ya gharama za kufanikisha Mradi wowote. MFANO kuna mtu mmoja alikwepa kupatiwa Ushauri wa kitaalamu juu ya uwekezaji wa Mradi fulani....mahali fulani....ambapo sisi tulipaswa kumshauri...lakini kwa sababu za mazoea na kuiga...akaona anapoteza muda na pesa aliyo tajiwa kama FEE akaona ni too expensive akaacha (alitakiwa afanyiwe Pre-feasibility study and then Final FS), Akaendelea kufanya hatua za mradi wake kwa kupata ushauri wa marafiki na kuiga wengine......alipomaliza.....na ndani ya mwaka mmoja wa kuanza kazi......Athari za kimazingira na kijamii zikaonekana dhahiri.....NEMC wakaja juu.....akapigwa faini na kusimamishwa hadi Zoezi la EIA lifanyike nk, PIA alikopa benki ambako alihonga tu maafisa mikopo wakampa mkopo bila kuwa na Business Plan yoyote (maaana alikwepa gharama za Write-up hiyo).....hivyo ndani ya miaka MITATU mradi wake haukuonyesha kufanikiwa....na benki wakaona isiwe tabu wakaanza kufanya yao ya kimkataba....jamaa PRESHA ikaanza!!!!

Haya sasa je hapo nini maana ya kukwepa Consultancy services kama hizo?
 
Back
Top Bottom