The BornAgain
JF-Expert Member
- Jun 23, 2024
- 428
- 582
Hizi ni baadhi ya aina za Writeups kwa ajili yako mpambanaji:
1) A business plan for a startup farming business
(Mtaji kuanzia 2ml to 20ml), gharama zake sh 350,000
2) A business succession plan for any agricultural processing business (mtaji 2ml to 50ml) , gharama zake sh 500,000
3) Project proposal for any environmental conservation project, amounting to 20ml , gharama zake Tsh 500,000
4) Project proposal for any children's focus themes , gharama tsh 500,000
NA AINA YOYOTE YA "ANDIKO " , WEWE NJOO DM, TUJADILI INITIATIVES ZAKO, NINI UNATAKA , TUTAJUZANA NI ANDIKO GANI TUFANYE NA LITASAIDIA NINI KTK MAONO YAKO.
Mfano kuna mtu alikuwa na uhitaji wa kufanya biashara huduma ya shule ya watoto, ila hana kiwanja wala eneo: ila huko aliko kuna eneo fulani wazi la matumizi fulani lakini lipo dormant kwa mda, nikamshauri kwakuwa ni eneo zuri kimkakati, na kwakuwa lipo wazi ila haijulikani litaanza kutumika lini na wenye nalo (taaisis fulani) basi atume maombi kimkakati..nikashauri tuandae LAND USE PROPOSAL kwa mda wa miaka 5 kwanza.
Akaafiki, nikajipinda kushawishi wenye eneo..akakubaliwa tena kwa miaka 7 badala ya 5: akaanzisha shule yake kwakuwa kulikuwa na godowns na structures zingine, akadesign pale, miaka ikaenda sasa amesecure ardhi yake anajenga madarasa mdogo mdogo having a business plan as a road map.
(So hatukuanzia kwenye business plan ya shule tulianzia uhitaji wa eneo kama factor mojawapo), ndo mana kujadili kwanza unaweza elewa nini cha kufanya, sio kukariri tu.
Anyway ni mawazo yangu, kwakuwa najua kila siku mawazo ya kimaendeleo yanatugonga vichwa.