Genuine raf
JF-Expert Member
- Jun 17, 2022
- 673
- 1,804
Sasa unamuachaje mwanao uliomzaa mwenyewe!Nature ya interview za vyuoni ni upendeleo na kuwabeba Wanafunzi wao i.e wale waliohitimu kwenye chuo chao.
sasa si wafaulu interview na si kubebwaSasa unamuachaje mwanao uliomzaa mwenyewe..!!
Wanafunzi waliosoma kwenye chuo husika Wana wigo mpana wa kukifahamu chuo husika in All sphere...
Sioni shida hapo,, inachotakiwa we ukaombe tu kwenye hicho chuo chako kama ni Rahisi kupata kwa kuwa umesoma hapohapo ππ