Jiggy El Jefe
Senior Member
- Aug 10, 2017
- 143
- 170
- Thread starter
- #21
Na majibu wanatoaga baada ya muda gani?Kesho tu asubiria mrejesho wako hapa wa Written interview maana najua mpaka kufika saa 2 asubuhi mambo yanamalizika pale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na majibu wanatoaga baada ya muda gani?Kesho tu asubiria mrejesho wako hapa wa Written interview maana najua mpaka kufika saa 2 asubuhi mambo yanamalizika pale
Kama mnafanya kesho basi tegemea majibu kutoka Mtondogoo yaan tar 7.. then mtapangiwa tar ya Usaili wa Oral amabyo haichelewi sanaNa majibu wanatoaga baada ya muda gani?
Tar 7 si ndo Oral Interview.Kama m afanya kesho basi tegemea majinu kutoka Mtondogoo yaan tar 7
Bac inaonesha tar 6 watakuwa washatoa majibu.. yaan siku moja baada ya mtihaniTar 7 si ndo Oral Interview.
shure kabisa zitasaidia wengiAnd its better for those who will succeed to attend written interview to share questions under their departments
Kwa hali ilivyokuaaaa! [emoji16][emoji16]Tunamsubiri thread creator for feedback maana yupo kwa Interviews written
Ila kutoboa utatoboa etyKwa hali ilivyokuaaaa! [emoji16][emoji16]
Dakika ni hzohzo 40..?Ila kutoboa utatoboa ety
Upande wangu namuachia Mungu.Ila kutoboa utatoboa ety
Maswali matano dk 40Dakika ni hzohzo 40..?
Yaan mda kama huo inatakiwa maswali yote uyajue ili uanze kutiririka tu..Maswali matano dk 40
Mda mdogo mnoYaan mda kama huo inatakiwa maswali yote uyajue ili uanze kutiririka tu..
Ndugu yangu, unamwambia matriculation kijana aliyeanza chuo after 2010kama ulishawahi kufanya matriculation exams unapojiunga Chuo Kikuu basi hivo ndivo hiyo mitihani inavokuwa
Kweli tunazeeka...so siku hizi wanetu hawapewi mitihani hiyo muhimu!.?Ndugu yangu, unamwambia matriculation kijana aliyeanza chuo after 2010
Matriculation iliisha kitambo sana
Hii itatusaidia Sana kujipanga angle za kusomaAnd its better for those who will succeed to attend written interview to share questions under their departments
Mungu/MUNGU sio munguOmba mungu soma hakikisha unakuwa na mood ya mitihani soma research yote, kariri zile job duties and responsibilities kama reserve then soma mambo ya kada hyo ya commercial
Kumbuka pale ni dk 40 usipoteze muda
Naona ni mwendo wa research based kwny marketing.Research Questions:
- Ethrographic Reasearch, Types
- Marketing Research
- Maswali ya Marketing Price
- Na mengine ni Based in marketing tu kwa ujumla.
Maswali ni Matano, ila yapo kama mia.