Mr njaa
Senior Member
- Feb 3, 2022
- 166
- 126
Hakuna muda wa kufikiriYaan mda kama huo inatakiwa maswali yote uyajue ili uanze kutiririka tu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna muda wa kufikiriYaan mda kama huo inatakiwa maswali yote uyajue ili uanze kutiririka tu..
Hey guys!.And its better for those who will succeed to attend written interview to share questions under their departments
Mliambiwa humu muwe very briefMda mdogo mno
Nilijitahidi kua briefMliambiwa humu muwe very brief
Basi wewe kwa nafasi yako umefanya muachie Mungu sasa.Nilijitahidi kua brief
[emoji120][emoji120][emoji120]Basi wewe kwa nafasi yako umefanya muachie Mungu sasa.
Majibu wanatoka kesho..?[emoji120][emoji120][emoji120]
Ndo walivyosemaMajibu wanatoka kesho..?
Bwana Shombe inaonekana sio mzoefu wa shughuli hizi, hawa jamaa mambo yao huwa wanawek hadharani so kwenye account yako utaona na huku pia wanaweka.Wanaweka PDF kwenye website au mnawekewa wenyewe kwenye account zenu....?
Kweli mkuu nimeiona, Yaan chujo zote za Leo tayari washaweka.. jamaa wako chapu sanaBwana Shombe inaonekana sio mzoefu wa shughuli hizi, hawa jamaa mambo yao huwa wanawek hadharani so kwenye account yako utaona na huku pia wanaweka.
Wametoa IT tu naona.Kweli mkuu nimeiona, Yaan chujo zote za Leo tayari washaweka.. jamaa wako chapu sana
Ila hawa wote wamefanya Leo..wako chapWametoa IT tu naona.
Daaah umeshakula uzoefu ikija ya TRA utateleza tu...turbo itakua imefungukaaResearch Questions:
- Ethrographic Reasearch, Types
- Marketing Research
- Maswali ya Marketing Price
- Na mengine ni Based in marketing tu kwa ujumla.
Maswali ni Matano, ila yapo kama mia.
Mda tu wote mpaka transport officerwametoa majina ya waliofaulu kwenye interview ya Commercial?
naomba unielekeze ulipoyaona nikaangalie.Mda tu wote mpaka transport officer
Angalia kwenye account yako status kama uko selected au laahnaomba unielekeze ulipoyaona nikaangalie.
Ata kwenye page ya ajira kwenye matangazo pale... baada ya picha pichanaomba unielekeze ulipoyaona nikaangalie.
wametoa majina ya waliofaulu kwenye interview ya Commercial?