Zakaria Maseke
Member
- Apr 26, 2022
- 83
- 128
Soma kesi ya REPUBLIC Vs FREEMAN AIKAEL MBOWE na wenzake watatu, Kesi ya uhujumu uchumi namba 16 of 2021.
Summary By, Zakaria Maseke
Kwenye hii kesi, prosecution walikosea, citation ya Sheria kwenye certificate of seizure (HATI YA KUCHUKUA MALI), wakaandika kwamba , imetolewa chini ya kifungu 38(3) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai Sura ya 20 ya mwaka 1985, Iliyorekebishwa mwaka 2018
Wakati kimsingi hakuna marekebisho yoyote yaliyofanyika mwaka 2018 kwenye hicho kifungu, marekebisho ya mwisho yalifanyika mwaka 1993.
Prosecution walipotaka kuitoa hati hiyo kama kielelezo Mahakamani, wakapigwa P.O. kwamba document wanayotaka ku tender haiwezi kupokelewa kwa sababu wame cite non existing law (sheria ambayo haipo).
Mahakama ikauliza maana ya haya maneno “iliyorekebishwa mwaka 2018”, kwa kiingereza.
Mawakili wengi wakawa wanasema hiyo ni Revised Edition of 2018 wengine wanasema inamaanisha "As amended in 2018"
Mahakama ikatafuta Kamusi ya Kiswahili na Kiingereza ya TUKI, ingawa Jaji hakupata moja kwa moja maana ya neno "iliyorekebishwa", ila alikuta maana ya neno "rekebisha" ambalo kwa kiingereza inamaanisha "Adjust" or "Amend" na "rekebishwa" inamaanisha "Adjusted" or "Amended".
Kwa hiyo Mahakama ikasema neno, "iliyorekebishwa", literally ina maana kwamba, "which was adjusted" or "which was amended" or "As amended".
Hivyo Mahakama ikasema, lugha iliyotumika kwenye hiki kielelezo cha certificate of seizure haimaanishi Revised Edition of 2018, ila inamaanisha "as amended in 2018".
Hata hivyo swali la msingi likabaki pale pale, kwamba hakuna marekebisho yaliyofanyika kwenye hiyo section mwaka 2018, je hii ina effects gani? Je itakua sahihi kusema hiyo ni wrong citation of the law?
Jaji akasema as a general rule, wrong citation of the law renders the motion advanced defective.
“I entirely agree that wrong citation of the enabling provision renders the application incompetent.
(Ila akasema, kuna exception).
This is a general principle, but “it does not apply similarly in every circumstance, for the simple reasons that its application depends on a number of the factors."
Akasema, “the current position of the law is that, not every non citation or wrong citation of the law crumbles the motion.
The introduction of overriding objective principle as introduced by the Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No. 3) Act, 2018 [ACT No. 8 of 2018] which now requires the Courts to deal with cases justly, and to have regard to substantive justice; the new principle of the "prejudice" has been enunciated.
“A mere complaint by a party to the case that there is non citation or wrong citation of the law or even non compliance of the law is not enough, THAT PERSON NEEDS TO GO A STEP FURTHER, AND ESTABLISH THAT HE WAS PREJUDICED by such non citation or wrong citation or non compliance.”
Kwa hiyo Ingawa prosecution walikosea citation, Mahakama Kuu ikasema, “there is no evidence that wrong citation has in any way prejudiced the accused" , Mahakama ika overrule objection na kuendelea kupokea (ku admit) kile kielelezo (certificate of seizure).
*Imeandaliwa na kuletwa kwako nami zakariamaseke@gmail.com
(0754575246 - WhatsApp)