Wrong Parking Enforcement Team?

Wrong Parking Enforcement Team?

Japo wabadilishe hilo jina asee. Unawezaje kuwaza wrong parking tu kwenye nchi ya viwanda?
 
Wrong parking kwenye jiji lisilo na PARKING ZA KUTOSHA.

Mf mitaa Wa Lindi kuanzia traffic light kuelekea Makutano ya barabara ya shaurimoyo/Lindi mkono Wa kulia ndo wanaruhusu Parking eneo ambalo limejaa.

Upande Wa kushoto kuna nafasi kubwa tu, wao huko wanaita wrong parking hakika ni uonevu.huo ni mfano mmoja ktk mingi jiji limehemewa inapaswa tuvumiliane tu.
 
Back
Top Bottom