Wrongful Death criminal attorneys in Tanzania...

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
Kwenye mazingira kama ya tukio la jengo kuporomoka na kusababisha vifo; je familia zinaweza kuleta kesi ya "wrongful death"? Kuna Sheria Tanzania inaweza kusaidia hili na wapo wanasheria waliospecialize katika eneo hili? au ndio ikitokea tukubali tu yaishe? Je kuna cap ya kiasi kinachoweza kudaiwa? Je kuna uwezekano wa kufile suits against multiple entities?
 
A case can be made ila serikali huwa ina kigugumizi kuweka mawakili wa maana sijui ni ubahili au. Kwa ninavyojua kesi ya namna hiyo punitive damages pekee zingecover cost zao
 
Mkuu Mzee Mwanakijiji, Tanzania tumerithi sheria zetu toka Uingereza, ambapo sheria zinazotumika nchini zimekuwa imported from India "para materiale" (neno kwa neno), hivyo baada ya kesi ya jinai, familia zina haki kufungua kesi za madai na kudai fidia kwa whoever aliyesababisha vifo vya wapendwa wao!.

Hata ile kesi ya Mwangosi, baada ya jinai, inapaswa ifuatie kesi ya madai!. Hata baada ya ajali zozote ziwe za ardhini, majini au angani, haki ya kudai fidia ipo pale pale, ila kwenye baathi ya maeneo, haki hiyo inakuwa subject to "condition of carriege" mfano ukisafiri na ndege, kitendo cha kufanya booking, na kulipia tiketi, unahesabika umekubali "conditions of carriage" ya shirika hilo inayoweka limitations za fidia in case of anything, mfano likitokea la kutokea, hakuna fidia yoyote italipwa kwa "hand luggage", kwa checked in luggage watalipa fidia ya lets say 20 dollars kwa kila kilo ya mzigo na kulipa 2000 dollars kwa kila loss of life!. Hivyo hata ukifungua kesi ya madai, ukomo wa fidia utaishia hapo, ndio maana mara tuu baada ya ajali za ndege, wahanga hulipwa fidia zao promptly!.

Kwa Tanzania, sio tuu hatujui haki zetu, bali pia kesi hizi za madai zinachukua muda mrefu, hivyo hata kwa wanazijua haki zao, wanahitaji kuwa na "uwezo" kuajiri wakili kusimamia kesi hizo!. Kwa sheria zetu, hatuna "pro bono" kwa mawakili kujitolea kwenye kesi za madai, na kuja kulipwa baada ya ushindi!, hivyo vifo vingi vya ajali zozote zinazosababisha vifo, ndugu wakishapewa mwili wao kuuzika, ndio imetoka!.

Baada ya ule mgomo wa madaktari, nilitengeneza a series of TV documentary, Part 1 & Part II, mwishoni nikasisitiza kuwa "life" ndio the most valuable asset ya kila nchi kwa raia wake, hivyo nikashauri its high Watanzania tuamke kudai fidia kwa any loss of life inayopotezwa kwa uzembe wowote!, nikasema kwa wenzetu, mahosipitali yanadaiwa fidia kubwa kwa death nzinazotokana na negligence, hivyo kwa vifo vilivyotokana na mgomo huu, haviwezi kuachwa kupita hivi hivi!. Nikamalizia kama serikali imeweza kutoa kifuta machozi kwa wahanga wa mauaji mbalimbali ya polisi, then serikali inapaswa kuwafidia wahanga wa mgomo huu!. Kipindi kilikataliwa na TV Stations zote!.

Nakushauri, baada ya kesi ya msingi, familia fungueni kesi ya madai kuidai haki ya yule mpandwa wenu!, tena uwezo ukiwaruhusu, muwaunganishe na wengine, ila kila fidia hudaiwa individualy, kwa kuithibitishia mahakama, how much loss ya huyo marehemu, was worth, Familia ya Marehemu Imran Kombe, walidai fidia ya 1 Billion, mahakama ikawalipa 300,000 milions by then, it was something!.

Suala la ni sheria ipi, kifungu gani na fidia kiasi gani, nawaachia wenyewe wanasheria!.

Pasco.

NB. Pasco wa jf, sio mwanasheria, bali alitoa tongotongo za sheria kwa miaka minne mfulululizo pale Kitivo cha Sheria cha UDSM.
 
Asante sana Mwanakijiji kwa kuanzisha mada. Asante sana Pasco kwa kutupatia shule. JF kisima cha elimu na burudani.
 
Yaani hakna malawyer hapa?
The learned brothers and sisters are very busy people!, na ikitokea ukawaona humu, ujue they don't practice!, hivyo hawa wachache tulio nao humu jf, wakianza ku practice tuu, nao hatuta waona tena humu!.
Pasco.
 
Kwenye mazingira kama ya tukio la jengo kuporomoka na kusababisha vifo; je familia zinaweza kuleta kesi ya "wrongful death"? Kuna Sheria Tanzania inaweza kusaidia hili na wapo wanasheria waliospecialize katika eneo hili? au ndio ikitokea tukubali tu yaishe? Je kuna cap ya kiasi kinachoweza kudaiwa? Je kuna uwezekano wa kufile suits against multiple entities?

Haipo, lakini unaweza kuanzisha!
Na hapo ndio pa kuanzia badala ya kulalamika kila siku, kwa nini hiki kiko hivi na kile hakifanyiki vile, unaweza ukaanzisha kitu kama hicho, huo pia ni mchango na tunauhitaji!

Kwenye mazingira kama ya tukio la jengo kuporomoka na kusababisha vifo; je familia zinaweza kuleta kesi ya "wrongful death"? Kuna Sheria Tanzania inaweza kusaidia hili na wapo wanasheria waliospecialize katika eneo hili? au ndio ikitokea tukubali tu yaishe? Je kuna cap ya kiasi kinachoweza kudaiwa? Je kuna uwezekano wa kufile suits against multiple entities?

Mwanakijiji nitajitahidi kulijibu swali lako kama lifuatavyo:
1. Wrongful death inajulikana Tanzania na iko governed na sheria inaitwa the Law Reform (Fatal Accidents and Miscellaneous Provisions) Act. Chapter 310 ya Sheria za Tanzania.

2. Specific provision on the manner of application inapatikana katika Part II ya sheria hiyo (Nimeiweka hapa chini kwa ufahamu zaidi na usomaji).

3. With due respect to a learned brother (Pasco) whom i remember being in his first year while i was doing my last year at UDSM hii kesi ya wrongful death haihitaji kesi ya jinai kuisha. Kwa kuwa ni kesi ya madai inaweza kuendeshwa kwa pamoja (pararell) na wakati mwingine ya madai ikaanza. (Ndio maana sielewi mpaka leo kwa nini Mke wa Mwangosi hajachukua hatua ya kufungua kesi).

4. Burden of Proof katika kesi ya daawa ya wrongful death ni kama ya daawa ya kawaida yaani "on a balance of probability".

5. Kama ipo namna ya kuwaorganise wafiwa ili wadai fidia kwa vifo vya wapendwa wao basi hii ni kesi ya uhakika (kama ilivyokuwa ile ya MV Bukoba, Ajali ya reli na hata MV skagit). Tatizo ni kuwa sheria ya Tanzania hairuhusu wanasheria kuwa ambulance chasers. Hivyo wanasheria wanasubiri wadai waje.

6. Kuna umuhimu wa nyie waandishi wa habari hasa Pasco kujenga ufahamu wa hizi sheria na kujenga mwamko wa watu kudai haki ya fidia. Iwapo hili litafanyika basi ajali za kijinga na negligence zitapungua sana. Ila wakiachwa bila kufanyiwa kitu hawataona uchungu.

7. Jambo la ziada kwa Mwanakijiji: It is possible to sue multiple individuals and entities in Tanzania.

8. Mkihitaji maelezo ya ziada nitajitokeza ingawa kazi yangu ya uwakili inanibana na nashindwa kuchangia mara kwa mara.

Hapa chini ni sehemu ya sheria tajwa:

PART II
FATAL ACCIDENTS (ss 3-8)
3. Action maintainable when death caused by wrongful act
If the death of any person is caused by the wrongful act of any person and the wrongful act is such as would, if death had not ensued, have entitled the person injured thereby to maintain an action recover damages in respect thereof the person who would have been liable if death had not ensued shall be liable to an action for damages, notwithstanding the death of the person injured, and although the death was caused under such circumstances as would amount in law to a criminal offence.

4. Action to be for the benefit of dependants Act No. 10 of 1971
(1) Every action brought under the provisions of this Part shall be for the benefit of the dependants of the person whose death has been so caused, and shall be brought either by and in the name of the executor or administrator of the person deceased or by and in the name or names of all or any of the dependants (if more than one) of the person deceased.
(2) In every such action the court may give such damages as it may think proportionate to the injury resulting from such death to the parties respectively for whom and for whose benefit such action is brought; and the amount so recovered, after deducting the costs not recovered from the defendant, shall be divided amongst the aforesaid parties in such shares as the court shall find and direct:
Provided that not more than one action shall lie for and in respect of the same subject matter of complaint.

5. Payment into court
Notwithstanding the provisions of section 4, it shall be sufficient, when the defendant pays money into court, that he pays it as compensation in one sum to all persons entitled under section 4 to damages for his wrongful act, without specifying the shares into which it is to be divided by the court; and if the said sum is not accepted, and an issue is taken by the plaintiff as to its sufficiency, and the court shall think the same sufficient, the defendant shall be entitled to judgment on that issue.

6. Plaintiff to deliver particulars
In every action brought under the provisions of this Part the plaintiff shall deliver to the defendant or his advocate, together with the plaint, full particulars of the person or persons for whom and on whose behalf such action is brought, and of the nature of the claim in respect of which damages are sought to be recovered.

7. Exclusion of payment by insurers in assessment of damages
The court in assessing damages in any action brought under the provisions of this Part shall not take into account any sum paid or payable on the death of the deceased under any contract of insurance or assurance.

8. Damages may be awarded in respect of funeral expenses
Damages may be awarded in respect of the funeral expenses of the deceased person if such expenses have been incurred by the parties for whose benefit the action is brought.
 
Last edited by a moderator:
Kwa kuongezea kwenye maelezo ya caren Sheria ya Fatal Accidents inaweza kua enforciable na ile ya Workmans Compensation Act kw wale waajiriwa waliopata madhara katika utendaji na kw hawa wahandisi kwenye Tort kuna kitu kinaitwa Proffessional negligence hii ni pale waliposhindwa kutumia utaalam wao kutekeleza wajibu wao na pia Occupiers liability kw wale wanamiliki eneo la kaz kw kushindwa kuhakikisha usalama wa wanaotumia hilo eneo hivi vyoye ni vielelezo vya kuambatanishwa katika kes ya madai ili kuipa uzito wa kisheria kufikia hitimisho la madai!
 
Mwanakijiji nitajitahidi kulijibu swali lako kama lifuatavyo:
1. Wrongful death inajulikana Tanzania na iko governed na sheria inaitwa the Law Reform (Fatal Accidents and Miscellaneous Provisions) Act. Chapter 310 ya Sheria za Tanzania.

2. Specific provision on the manner of application inapatikana katika Part II ya sheria hiyo (Nimeiweka hapa chini kwa ufahamu zaidi na usomaji).

3. With due respect to a learned brother (Pasco) whom i remember being in his first year while i was doing my last year at UDSM hii kesi ya wrongful death haihitaji kesi ya jinai kuisha. Kwa kuwa ni kesi ya madai inaweza kuendeshwa kwa pamoja (pararell) na wakati mwingine ya madai ikaanza. (Ndio maana sielewi mpaka leo kwa nini Mke wa Mwangosi hajachukua hatua ya kufungua kesi).

4. Burden of Proof katika kesi ya daawa ya wrongful death ni kama ya daawa ya kawaida yaani "on a balance of probability".

5. Kama ipo namna ya kuwaorganise wafiwa ili wadai fidia kwa vifo vya wapendwa wao basi hii ni kesi ya uhakika (kama ilivyokuwa ile ya MV Bukoba, Ajali ya reli na hata MV skagit). Tatizo ni kuwa sheria ya Tanzania hairuhusu wanasheria kuwa ambulance chasers. Hivyo wanasheria wanasubiri wadai waje.

6. Kuna umuhimu wa nyie waandishi wa habari hasa Pasco kujenga ufahamu wa hizi sheria na kujenga mwamko wa watu kudai haki ya fidia. Iwapo hili litafanyika basi ajali za kijinga na negligence zitapungua sana. Ila wakiachwa bila kufanyiwa kitu hawataona uchungu.

7. Jambo la ziada kwa Mwanakijiji: It is possible to sue multiple individuals and entities in Tanzania.

8. Mkihitaji maelezo ya ziada nitajitokeza ingawa kazi yangu ya uwakili inanibana na nashindwa kuchangia mara kwa mara.

Hapa chini ni sehemu ya sheria tajwa:

PART II
FATAL ACCIDENTS (ss 3-8)
3. Action maintainable when death caused by wrongful act
If the death of any person is caused by the wrongful act of any person and the wrongful act is such as would, if death had not ensued, have entitled the person injured thereby to maintain an action recover damages in respect thereof the person who would have been liable if death had not ensued shall be liable to an action for damages, notwithstanding the death of the person injured, and although the death was caused under such circumstances as would amount in law to a criminal offence.

4. Action to be for the benefit of dependants Act No. 10 of 1971
(1) Every action brought under the provisions of this Part shall be for the benefit of the dependants of the person whose death has been so caused, and shall be brought either by and in the name of the executor or administrator of the person deceased or by and in the name or names of all or any of the dependants (if more than one) of the person deceased.
(2) In every such action the court may give such damages as it may think proportionate to the injury resulting from such death to the parties respectively for whom and for whose benefit such action is brought; and the amount so recovered, after deducting the costs not recovered from the defendant, shall be divided amongst the aforesaid parties in such shares as the court shall find and direct:
Provided that not more than one action shall lie for and in respect of the same subject matter of complaint.

5. Payment into court
Notwithstanding the provisions of section 4, it shall be sufficient, when the defendant pays money into court, that he pays it as compensation in one sum to all persons entitled under section 4 to damages for his wrongful act, without specifying the shares into which it is to be divided by the court; and if the said sum is not accepted, and an issue is taken by the plaintiff as to its sufficiency, and the court shall think the same sufficient, the defendant shall be entitled to judgment on that issue.

6. Plaintiff to deliver particulars
In every action brought under the provisions of this Part the plaintiff shall deliver to the defendant or his advocate, together with the plaint, full particulars of the person or persons for whom and on whose behalf such action is brought, and of the nature of the claim in respect of which damages are sought to be recovered.

7. Exclusion of payment by insurers in assessment of damages
The court in assessing damages in any action brought under the provisions of this Part shall not take into account any sum paid or payable on the death of the deceased under any contract of insurance or assurance.

8. Damages may be awarded in respect of funeral expenses
Damages may be awarded in respect of the funeral expenses of the deceased person if such expenses have been incurred by the parties for whose benefit the action is brought.
Caren, thanks for this!. Kiukweli kama mwandishi wa habari aliyeichungulia sheria, najisikia nina deni kubwa kwa Watanzania kuwaelimisha kuhusu haki zao!, Wakati muafaka ukifika, nitaomba ushiriki wako katika kampeni ya "Mtanzania Jua Haki Zako!". Kwa sasa kuna deni dogo la kumalizia kwenye journalism, baada ya 2015, nitakuwa kisheria zaidi!.
Pasco.
 
Back
Top Bottom