MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
kweli mkuuKweli?? Daaaah hahahaaa
ngoja niicheki then nitaituma hapaLink pliz
Kweli kabisa jombaa, Jackie Maribe ndiye aliyesoma habari hizo za mauaji, alafu kesho yake ndio polisi wakamdaka.Aliyesoma habari ya mahuaji citizen Tv siku hiyo alikuwa Maribe,ahha hahah
Uko sahihi kabisa! Damn!
aisee mpaka alikuwa hajui chochote nadhani?Kweli kabisa jombaa, Jackie Maribe ndiye aliyesoma habari hizo za mauaji, alafu kesho yake ndio polisi wakamdaka.
aisee mpaka alikuwa hajui chochote nadhani?
What’s her employment status at Citizen TV?
But boy they look suspicious....from their body language and the way they’ve been behaving/ acting in court.
They seem kinda weird to me....
tokea hii saga ianze sijaona sehemu wameonesha uhusiano wa Monica na huyo Irungu,labda wakenya watatusaidia hapa lkn huyo jamaa inaonekana is something else na inaonekana alikuwa akiishi double life MK254 pingli-nyweeJack na bf wake walikua Na uhusiano gani Na marehemu Monica mpaka wawe suspects?
Na sheria inasemaje kwa Maribe kuidanganya court/police kuhusu jamaa alivyopigwa risasi?Doesn't make sense why the court chose to detain her further, her affidavit presentation was convincing, so far nothing seems to connect her to the murder apart from a weak circumstantial association with the main suspect. Body language is inconsequential in a court of law and not scientific enough to sway a ruling.
Of course her job is still there as she has not been convicted or found culpable of any wrongdoing, any dismissal would be unlawful.
Doesn't make sense why the court chose to detain her further, her affidavit presentation was convincing, so far nothing seems to connect her to the murder apart from a weak circumstantial association with the main suspect.
Body language is inconsequential in a court of law and not scientific enough to sway a ruling.
Of course her job is still there as she has not been convicted or found culpable of any wrongdoing, any dismissal would be unlawful.
Just because her affidavit presentation sounds convincing to you, it doesn’t mean she wasn’t involved in any capacity in the homicide. Unless maybe you are also privy to all the evidence germane to the murder that the prosecution has, then you may have an informed opinion. Are you privy or those are just your two cents from a distance?
That was just my observation from a distance. I couldn’t help taking a read of their body language.
Really? Even though she hasn’t shown up to work going on two weeks now or thereabouts?
And she’s getting paid while she’s away?
Y’all must have it really good over there in Kenya.
That you can get arrested, taken to jail for about two weeks and still have your job and possibly still get paid [even though you’re not showing up to work]!!!
Apart from investigators, no one else is privy to the full details of whatever is linking her to the felony, we are all debating based on the presentations made at the court both by prosecution team and her lawyers, and that's the basis of my earlier assertion, that denying her bail didn't appear necessary to me.
I am not a HR expert, but I know most corporate do have policies addressing incarcerations, like we all know, she has been remanded and not prisoned, this is a temporal incarceration to pave room for investigations to complete, can either lead to a conviction or acquittal, and policies in most corporate have guidelines on how such incidents are handled, she can be given leave without pay, or allow the days consume into her annual leave and so forth, there are many options.
She is a public figure and everything that happens to her is drawing much interest from the general public, dismissing her mercilessly and she ends up getting acquitted, will most likely paint a negative image to Citizen (her employer).
Stori ya Monica nayo ni ndefu. Kulikuwa na uhusiano mkubwa kati yake na 'warlord' flani rafiki yake rais wa S.Sudan, Salva Kiir, ambaye sasa ni Governor huko S.Sudan. Kuna tetesi kwamba Monica alikuwa anamfanyia 'money laundering' kule Dubai. Jowie naye ana connection na kazi zisizoeleweka virahisi huko huko Dubai. Niliona sehemu flani wakisema kwamba eti Mshukiwa na Monica walijuana kupitia FB. Ila kuna evidence kwamba Jowie ndiye aliyempick Monica airport na kwamba Monica alikuwa ametoka vacation Dubai, apparently alikuwa loaded sana na 'hard cash' alipowasili. Nadhani mengi zaidi kuhusu Monica na uhusiano wake na mshukiwa, Jowie yatajulikana kesi yenyewe ikianza.tokea hii saga ianze sijaona sehemu wameonesha uhusiano wa Monica na huyo Irungu,labda wakenya watatusaidia hapa lkn huyo jamaa inaonekana is something else na inaonekana alikuwa akiishi double life MK254 pingli-nywee
Inawezekana sana, kama ni warlord now inamake sense, ndio maana hata aina ya mauaji aliyofanyiwa yalikuwaa hatari .huyo somebody jowie alikuwa kazini killer for hire nothing personalStori ya Monica nayo ni ndefu. Kuna uhusiano mkubwa kati yake na warlord fulani ambaye sasa ni Governor kule S.Sudan. Kuna tetesi kwamba Monica alikuwa anamfanyia money laundering kule uarabuni, nadhani ni Dubai ama Qatar. Jowie naye ana connection na kazi zisizoeleweka virahisi huko huko uarabuni. Nadhani information zaidi itajulikana kesi yenyewe ikianza.
Maybe, maybe not. Ila alivyompick Monica kutoka airport inaashiria kulikuwa na kauhusiano flani. Habari za cash alizokuwa nazo Monica pia zinaingiza connection ya S.Sudan kwenye tukio lenyewe. 'Killer for hire', wizi wa hela, mapenzi? Yatajulikana tu, kwa njia moja ama nyingine.Inawezekana sana, kama ni warlord now inamake sense, ndio maana hata aina ya mauaji aliyofanyiwa yalikuwaa hatari .huyo somebody jowie alikuwa kazini killer for hire nothing personal
kweli tutajua kidogo kidogo mbele ya safari. fast life Monica,jowie na maribe hawajafika hata miaka 40 maisha yao yanaingia doaMaybe, maybe not. Ila alivyompick Monica kutoka airport inaashiria kulikuwa na kauhusiano flani. Habari za cash alizokuwa nazo Monica pia zinaingiza connection ya S.Sudan kwenye tukio lenyewe. 'Killer for hire', wizi wa hela, mapenzi? Yatajulikana tu, kwa njia moja ama nyingine.
FactKenya watu hawawezi kukuhurumia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Fact
Mikatili hii maumau walahi